Vurugu Embaseni: Rose Chatanda ashambuliwa na wafuasi wa CHADEMA

Hakika nawapongeza sn vjana wa cdm kwa ulinzi madhubuti wa haki yao ya kimsingi. Hakikisheni haki inashinda dhidi ya uovu na dhulma.
 
Duh arumeru mvua inatoka wapi? 2po msitu wa tembo naona mvua kwa mbali tengeru na milimani,2mejizatiti ktk patroo kwani wakija na moto 2na miguu ya kuku ilo2lia
 
Hakika sisi Chadema tuna Mungu anayeturinda,wao CCM wanapesa na askari wanaowalinda.
 
CCM hawawezi kushinda kwa haki Arumeru. Maji yamefika kichwani tayari.
 
BREAK NWS VIJANA WA CCM WAFANYA VURUGU KITUO CHA EMBASENI VIJANA WA CDM WAWADHIBITI VIKALI SANA

Hayo yametokea katika kituo cha embasseni,ambapo vijana hao Wa CCM walikuwa kwenye gari walipofika tu,wakaanza kuwarushia mawe vijana makini wa CDM wanaolinda kura kituo hicho,vijana hao walikuwa wapo na dada mmoja ambaye alikuwa anataka kuingiza kitu kupitia mmoja wa wasimamizi wa kituo,lakini vijana wa CDM waliwadhibiti vikali mpaka ffu walipofika eneo hilo
heshima kwa vijana kwa kusimamia mabadiliko.
 
Ngilisho Sunrise Radio anaripoti:
Kituo Embasema kata Kikatiti:

Hali ni tete kabisa, gari lilokuwa na katibu mkuu wa ccm mkoa wa arusha Rosemerry Chatanda lashambuliwa na wafuasi wa cdm gari hilo lilikuwa linalazimisha kuingia ndani ya kituo hicho.
 
Ni huyu mama mnafiki katibu ccm Mary Chatanda, alijifanya amepata ruhusa ya RPC Andengenye, bt RPC kamkana na kabebwa mzobezobe na FFU, na ana bahat sn maana makamanda tayari washaanza kutoa tifu, AIBU YAO MAGAMBA.
 
Safi sana. Alitaka kufanya nini?
 
Ni huyu mama mnafiki katibu ccm Mary Chatanda, alijifanya amepata ruhusa ya RPC Andengenye, bt RPC kamkana na kabebwa mzobezobe na FFU, na ana bahat sn maana makamanda tayari washaanza kutoa tifu, AIBU YAO MAGAMBA.

Wangemchoma madole kwenye bonde la ufa, Pambaff zake.
 
kwa hili wamechemka sana kiasi kwamba hawajui wanao watuma na wao wamekuwa na akili finyu kama magamba yao
 
Kuna habari Mary Chatanda ameumizwa vibaya alipotaka kuingia kituoni na gari tinted
 
amepigwa na nani? Na ni kwa nn apigwe amekuja kwa nia gani mpaka apigwe jaribuni kuweka maelezo yaliyojikamilisha ili unapokuwa unasoma unajua nn uchangie toa habari kamili
 
Back
Top Bottom