Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

Wakati mwingne BUSARA huwa ni jambo jema sana......Ukifatilia kiundani zaidi unaweza kuta huyo mbunge kachokoza mwenyewe kwa kuingia himaya ya CCM na hizo sare kuchokoza tu wenzake....ili kitokee kilicho mtokea ionekane ni uonevu ili mpate pakusema ya kuwa mmeonewa....
Ni upuuzi tu kumtetea huyo mbunge kwenye hili....I BELIEVE KABSA ALIKUWA NA NJIA MBADALA YA KUPITA ila kaamua tu makusudi kuchokoza.....
Hiki halicho kifanya hakuna TOFAUTI na SHABIKI wa simba kupita jukwaa la YANGA.....kwamwe hauwezi pita salama.....
Inaonekana ndugu unaelewa kwa nn huyo mh kunti kapita apo tunaomba utuambie plz koz inaonekana umefurahia yy kuligwa na wakati hapo na barabarani muongozo plz
 
NILIFIKIRI ungeomba RED BRIGADE na GREEN GUARD zifutwe maana ndio zinatoa ujasiri wa kurusha makonde.
Pili; Hakukua na njia nyingine ya kupita, Akili ikizidi hekima matokeo yake huwa ni haya
Kwani kuna sheria inasema watu/chama pinzan kisifike kwenye hilo eneo, au unatetea 2 kwa sabab naww ni gamba
 
kama ni kweli ,itafika wakati ukiwaona ccm wawili watatu wamejikusanya mahali wewe wa chama kingine kupita utajiuliza malambimbili.
 
Wanafanya kile ambacho kwa sasa ndiyo akili yao inavyowatuma kuwa mpinzani ni adui siyo tena maradhi,ujinga,na umaskini.Mungu apishie mbali nchi inaenda wapi?
 
Wakati mwingne BUSARA huwa ni jambo jema sana......Ukifatilia kiundani zaidi unaweza kuta huyo mbunge kachokoza mwenyewe kwa kuingia himaya ya CCM na hizo sare kuchokoza tu wenzake....ili kitokee kilicho mtokea ionekane ni uonevu ili mpate pakusema ya kuwa mmeonewa....
Ni upuuzi tu kumtetea huyo mbunge kwenye hili....I BELIEVE KABSA ALIKUWA NA NJIA MBADALA YA KUPITA ila kaamua tu makusudi kuchokoza.....
Hiki halicho kifanya hakuna TOFAUTI na SHABIKI wa simba kupita jukwaa la YANGA.....kwamwe hauwezi pita salama.....

Godbless Lema kawambia kila kiongozi wa chadema afanye vurugu ili aende jela ni pazuri sana na ni sifa kubwa kuwekwa ndani
 
Naona kuna jamaa kavaa Shati na kofia ya KIJANI kashika NONDO. Wengine wanatoa tairi upepo..!

Ina maana mtu wa CHADEMA haruhusiwi kupita Dodoma mida hii?! Acheni u*** bhana.

Ni mtu mjinga pekee anayeweza kushabikia CCM iliyomshinda hata MUASISI wake..!
hahahahahahahahaha duh!! kashika nondo tena!!
 
Wakati mwingne BUSARA huwa ni jambo jema sana......Ukifatilia kiundani zaidi unaweza kuta huyo mbunge kachokoza mwenyewe kwa kuingia himaya ya CCM na hizo sare kuchokoza tu wenzake....ili kitokee kilicho mtokea ionekane ni uonevu ili mpate pakusema ya kuwa mmeonewa....
Ni upuuzi tu kumtetea huyo mbunge kwenye hili....I BELIEVE KABSA ALIKUWA NA NJIA MBADALA YA KUPITA ila kaamua tu makusudi kuchokoza.....
Hiki halicho kifanya hakuna TOFAUTI na SHABIKI wa simba kupita jukwaa la YANGA.....kwamwe hauwezi pita salama.....
Tukiwapa kichapo wanaCCM uje hapa kuyasema haya
 
Mbunge wa CHADEMA Kunti Majala aokolewa na polisi dereva wake akipigwa na watu baada ya kupita na gari karibu na jengo la Mkutano wa CCM.

Gari aina ya ford ranger mali ya CHADEMA limekamatwa na polisi muda huu mkoani Dodoma eneo la barabara ya 6.

Gari ilo lilikuwa linapita kama magari mengine lakini likazuiwa na kuvuywa na breakdown chini ya escort ya gari la polisi na askari wengi.

80441e60fa149965c069629f02485f61.jpg
Sasa hapo hiyo heading yako mbona imekaa kinazi! Iweje ccm uandike imemfanyia vurugu Wakati yeye ndio kaenda kwenye mkutano wa ccm!!?
 
Sisonje Sisonje Mungu anakuona.Awamu ya tano Kweli lengo ni kuua kabisa upinzani.
Hana ubavu huo. Chama chake mwenyewe kitamuondoa

Back
Top Bottom