Vurugu Dodoma: CCM wamfanyia vurugu Mbunge wa CHADEMA

kamanda mbigi

JF-Expert Member
Feb 8, 2017
1,241
1,546
Mbunge wa CHADEMA Kunti Majala aokolewa na polisi dereva wake akipigwa na watu baada ya kupita na gari karibu na jengo la Mkutano wa CCM.

Gari aina ya ford ranger mali ya CHADEMA limekamatwa na polisi muda huu mkoani Dodoma eneo la barabara ya 6.

Gari ilo lilikuwa linapita kama magari mengine lakini likazuiwa na kuvuywa na breakdown chini ya escort ya gari la polisi na askari wengi.
image.jpeg
image.jpeg

80441e60fa149965c069629f02485f61.jpg
 
Naona kuna jamaa kavaa Shati na kofia ya KIJANI kashika NONDO. Wengine wanatoa tairi upepo..!

Ina maana mtu wa CHADEMA haruhusiwi kupita Dodoma mida hii?! Acheni u*** bhana.

Ni mtu mjinga pekee anayeweza kushabikia CCM iliyomshinda hata MUASISI wake..!
 
Back
Top Bottom