Vunjeni Muungano lkn mimi nitabaki Mtanzania

Kwa wote wanaochangia mjadala huu kama vile straatkasyambe, Judith, mwanakatwe ambao nawalinganisha na mwanafunzi development studies anayejibu swali ili kupata maksi za mtihani bila kujali anachoamini naomba musome hapa chink muons jinsi muungano huu ulivyoshinikizwa na nchi za magharibi;

When, therefore on 26th April, 1964, the People’s Republic of Zanzibar and the Republic of Tanganyika announced that they had merged to form a Union, the international community felt that Zanzibar and Tanganyika had succeeded where the four East African countries together had failed. But was it the ideals of Pan-Africanism that brought Zanzibar and Tanganyika together? Was the Union the result of an African initiative or was it propelled by cold war rivalry? The circumstances in which the Union was formed raised a lot of questions, many of which are still unanswered, and some have been at the centre of continuing debates and controversies in Tanzania in the last twenty years. Were the fears of ZNP that Zanzibar would be ‘taken over’ by Tanganyika had been proven true? In later years, the Union was to haunt the Zanzibar politicians for a long time, with each of them playing the “Union card” either for legitimacy on the Mainland or for support at home.

Nyerere stated that he casually proposed the idea of the Union to Karume when the latter visited him to discuss the fate of John Okello. According to Nyerere, Karume immediately agreed to the idea and suggested that Nyerere should be the President of such a Union. In a New Year message to the Nation on 2 January 1965, Nyerere implied that even if the ASP had come into power through constitutional means and not as a result of a revolution, the Union would still have taken place. But Amrit Wilson’s research has revealed that there was a very strong Western pressure, especially from the United States, for the Zanzibar Revolution to be contained because it was felt that it held the threat of the spread of communism in the East African region. The Untied States, Britain and the then West Germany, which Tanganyika was heavily dependent on at the time, viewed the revolutionary government in Zanzibar as either a surrogate of the communist powers or dancing to their tune. The international press had already started to characterize Zanzibar as the ‘Cuba of Africa’, though to be fair to Duggan, he had referred to Zanzibar as “Tanganyika’s Cuba” far back in July 1963 when he had interviewed Nyerere in Washington during the latter’s state visit to the US.

In a cable message to US embassies in Dar es Salaam, Nairobi and Kampala, the US Secretary of State Dean Rusk instructed his diplomats to urge Nyerere, Kenyatta and Obote to explain to Karume the dangers involved in his dependence on Babu and:

The danger Babu represents… to the security of Zanzibar and East Africa generally… they should recognize here that the big problem is that Karume himself has great confidence in and dependence on Babu… also that Nyerere has said that Karume needs Babu who, despite his background, can and must be worked with. Kenyatta and Joseph Murumbi on the other hand appear to regard Babu as undesirable and the chief threat to Karume. Would it be useful to raise with Nyerere, despite his previous objection, the idea of a Zanzibar-Tanganyika Federation as a possible way of strengthening Karume and reducing Babu’s influence? Such action at this time may also help Nyerere’s own position.

In an interview with Amrit Wilson in 1986, Frank Carlucci, the US Consul in Zanzibar at the time of the Union who was later thrown out of Zanzibar because of CIA activities (and who later rose to become the Director of CIA and US Secretary of State for Defence), confessed that there was United States’ pressure on Nyerere.

Susan Crouch in her book Western Responses to Tanzanian Socialism 1967-1983 reveals that:

To this end the American Central Intelligence Agency was active in trying to create the conditions for union, fanning antagonisms among Zanzibar’s revolutionary leaders, and creating a fear of Zanzibar as a communist threat among East African leaders.
Was the Union then, as is indicated in U.S. State Department papers, dictated by cold war considerations first and the questions of pan-African ideals of unity were secondary to ideological factors and questions of personal survival?

It has also been suggested that Karume wanted a Union with Tanganyika as a means of warding off his Marxist and Left wing colleagues. What seems to be the case is that after the electoral defeat of July 1963 Karume’s leadership within the ASP parliamentary group was shaky. There was a schism in it, with Karume being challenged by Othman Shariff, and some of the party’s MPs calling for a government of national unity that would bring together in government all the political parties in parliament. After the revolution, Umma Party radical elements in the government (Babu, Khamis Abdalla Ameir, Ali Sultan Issa, Ali Mahfoudh, Salim Rashid, Badawi Qullatein, etc) were forging links with the ASP leftists (Abdallah Kassim Hanga. Abdulazizi Ali Twala, Hassan Nassor Moyo, etc.), and this might have scared Karume and other moderate elements within the regime. At the same time, the radical way in which the revolution was surging ahead might have alarmed the regime in Dar es Salaam. It should not be forgotten that within days of the revolution in Zanzibar, an army mutiny took place in Tanganyika (later repeated in Kenya and Uganda); and even though we know now that there was no link between the revolution and those mutinies, it was difficult to see it that way at the time.
 
Nyie mnaotaka muungano ufe mnataka kututesa tu sie wenzenu ambao Zanzibar na mnakokuita Tanganyika kote kwetu. Ukimuona Mzanzibar haupendi muungano kinachomsumbua ama uchu wa madaraka au ushamba. Sie huku bara tunaishi na kufanya shughuli zetu na wala hakuna mtu wa kukuuliza wewe Mzanzibar unafanya nini huku. Na kale ka nchi ketu kadogo kule na tulivyokuwa tuna visa na kuchukiana wallah mi ntabaki huku huku sitaki shari za u pemba na uunguja. Na nawaambia tukiuvunja huu muungano tutaishia na Pemba na Unguja na si Zanzibar tena.
 
Wazanzibar mnajua sana Kiswahili, labda utanielewa kwa hili: Inzi akikuzunguka zunguka usoni ndio kero. Mbu akikuuma, au nyoka, ni tatizo, anaweza kukuua. Muungano sio kero, ni matatizo. Kwa nini hatutumii Kiswahili fasaha kuelezea matatizo yetu?

Mtanganyika nikilipishwa ushuru wa mamilioni kwa kuingiza gari Tanganyika kutokea Zanzibar, hayo mamilioni ni kero au tatizo?

Ninapoona nyumba za ibada za dini isiyokuwa popular Zanzibar zinachomwa moto wakati wao wamejaa Bara huku wanafanya shughuli zao hakuna anaewabughudhi hiyo ni kero au kutafutana vita?

Ninapoona Bunge limejaa wawakilishi kutoka Zanzibar tofauti na uwiano wao, hayo mabilioni ya kugharimia hawa wabunge wa kigeni ni kero au balaa?

Ninapoona waziri wa Zanzibar anatangaza hadharani kimabavu kwamba hatalipia Umeme wakati mimi Mtanganyika sithubutu kuikoromea TANESCO, hiyo ni kero au uonevu?

Ninapoona nusu ya mabalozi, mawaziri wa Muungano, viongozi wa vyama, wanatoka sehemu moja ndoooogo ya nchi, hiyo ni kero au upendeleo?

Ninapoona kura yangu haina nguvu ikilinganishwa na Mzanzibar kwa sababu ya uwakilishi mkubwa wa Wazanzibar kwenye vyombo vya maamuzi, Bunge na Baraza la Wawakilishi, hiyo ni kero au nimebakwa kidemokrasia?

Ninapoona Mtanganyika hawezi kununua kiwanja kirahisi Zanzibar, kujenga, kuendesha biashara, hiyo ni kero au ubaguzi dhalimu?

Ninapoona Zanzibar inaandika Katiba inayokinzana na Katiba ya Muungano na kutangaza unilaterally kufuta kitu fulani katika orodha ya mambo ya Muungano, hiyo ni kero au jinai ya dharau?

Ndio maana wengine tunasema to hell with the Muungano!

Mkuu Taso,

Hayo uliotaja kuwa ni matatizo na kuyachambua vizuri sana yanazidi kunambia na kunishajiisha kudai kuvunjika kwa huu "muungano" feki.

Kutokana na matatizo hayo, kwanini tena wakubwa wa Tanganyika wanaung'ang'ania na kuahidi kuulinda kwa nguvu zote za dola?

Huoni kuwa ni sisi wananchi ndio tunaochezewa akili zetu?
 
Nyie mnaotaka muungano ufe mnataka kututesa tu sie wenzenu ambao Zanzibar na mnakokuita Tanganyika kote kwetu. Ukimuona Mzanzibar haupendi muungano kinachomsumbua ama uchu wa madaraka au ushamba. Sie huku bara tunaishi na kufanya shughuli zetu na wala hakuna mtu wa kukuuliza wewe Mzanzibar unafanya nini huku. Na kale ka nchi ketu kadogo kule na tulivyokuwa tuna visa na kuchukiana wallah mi ntabaki huku huku sitaki shari za u pemba na uunguja. Na nawaambia tukiuvunja huu muungano tutaishia na Pemba na Unguja na si Zanzibar tena.

Hakuna Mzanzibari wa aina yako usijihashue bure.
 
Yupo wa aina yako kwa kuwa wewe unaishi Zanzibar basi ndo Mzanzibar???? Sie wengine damu zetu ni za Zanzibar na Bara na tumeona opportunities za muungano. We kaa huko na ushamba wako wa kuishi na kukulia Zanzibar na kajielimu kako ka ngumbaro then ujione unajua ila uroho na ushamba wenu utatutesa. Jaribu uje uishi na bara uone faida za muungano. Usishabikie usichokijua. Hata kama muungano mmbaya una faida kwetu sisi na suala si kuuvunja ni kuuboresha. Ila kwa watu kama nyie mnaofikiria kwa kutumia tumbo badala ya kichwa muungano utauona haufai daima. Tena mimi ni mfuasi mzuri wa muungano wa serikali mbili na si tatu wala moja. Naamini tukitaka kuuboresha hivi ulivyo tutatengeneza kitu cha kujivunia duniani.
 
Kwa matusi sikuwezi lakini hoja za maana huna. Bahati mbaya wewe umebahatika kuishi huko kwenu bara na ndio ukawa na mawazo hayo mgando. Niliposema kuwa wewe si Mzanzibari kumbe sikukosea maana Mzanzibari halisi hawezi kuwa na mawazo yaliodhoofika kama yako.

Sioni sifa wala fakhari kuishi bara lakini wewe ulianza baada ya mimi kuondoka. Bahati nzuri wewe umeishi bara hio tu lakini mimi nimebahatika kuishi kwa umri mrefu kuliko wewe na bara nyingi kuliko wewe.

Ikiwa hoja zako hizi ni kielelezo cha elimu yako, basi karudi tena ukajifunze. Mimi si mtu wa kujisifia hili na hili lakini natumia akili na wewe unatumia hilo tumbo kwa fadhila za hawa bwana zako.

Endelea na mapenzi yako na sisi tuwachie na ushamba wetu. Ni hilo shamba letu Mkuu Lord ndilo mnaloling'ang'angania kwa sababu mnazozijua wenyewe.

Hata hivyo ujue tu kuwa wimbi hili la mabadiliko halisimami tena.

*"Ule wakati wetu na Nyerere tulikuwa tunakubali lakini hawa vijana wa leo hawakubali, Bw. Sitta, ITS OVER*". -
Mzee Hassan Nassor Moyo, former SMZ/SMT Minister and ASP/CCM Veteran
 
,,,,,,tatizo watu wengi wanachukua jukumu la kuwasemea wenzao pasipo ridhaa zao,hilo ni tatizo jingine pia,kila mtu zenji na bara anajua muungano huu unamkwaza au kuumsadia kivyake,,so hakuana haja ya wengine kuvaa jukumu la kutusemea wazanzibari wote bana.
 
Mzee King Zenji si ndio maana kila mtu anatoa maoni yake? Hata ukimuona mtu anatoa matusi, ujue hana hoja bali ni ushabiki tu ndio unaomuongoza.

Kawaida yangu mimi, hata kama mtu humu katoa hoja na sikubaliani nayo lakini hoja nzito, nampongeza na baadae nikiona kuna haja, natafuta hoja ya kumjibia.

Tunaweza tusikubaliane lakini mjadala uendelee.

JF: Where we dare to talk openly

Need we say more?
 
@pharaoh
watu wanajadiliana hoja wewe unaleta matusi.faida kubwa tuloipata wazanzibari kwa muungano huu ni kuzidi kwa machangudoa kutoka bara, majambazi na vilabu vya pombe.
 
Hakika wewe ni mbumbumbu!tukivunja muungano tutajuta nini?
 
Kuna tofauti kati ya kutamani na kukipata unachotamani. Endeleeni kutamani kuuvunja huo muungano ila kamwe haitatimia
 
Mzee King Zenji si ndio maana kila mtu anatoa maoni yake? Hata ukimuona mtu anatoa matusi, ujue hana hoja bali ni ushabiki tu ndio unaomuongoza.

Kawaida yangu mimi, hata kama mtu humu katoa hoja na sikubaliani nayo lakini hoja nzito, nampongeza na baadae nikiona kuna haja, natafuta hoja ya kumjibia.

Tunaweza tusikubaliane lakini mjadala uendelee.

JF: Where we dare to talk openly

Need we say more?
Mwenye hoja ni yule anayekubali muungano uvunjike hata kama kwa kufanya hivyo kunamkwaza????
 
Kwa matusi sikuwezi lakini hoja za maana huna. Bahati mbaya wewe umebahatika kuishi huko kwenu bara na ndio ukawa na mawazo hayo mgando. Niliposema kuwa wewe si Mzanzibari kumbe sikukosea maana Mzanzibari halisi hawezi kuwa na mawazo yaliodhoofika kama yako.

Sioni sifa wala fakhari kuishi bara lakini wewe ulianza baada ya mimi kuondoka. Bahati nzuri wewe umeishi bara hio tu lakini mimi nimebahatika kuishi kwa umri mrefu kuliko wewe na bara nyingi kuliko wewe.

Ikiwa hoja zako hizi ni kielelezo cha elimu yako, basi karudi tena ukajifunze. Mimi si mtu wa kujisifia hili na hili lakini natumia akili na wewe unatumia hilo tumbo kwa fadhila za hawa bwana zako.

Endelea na mapenzi yako na sisi tuwachie na ushamba wetu. Ni hilo shamba letu Mkuu Lord ndilo mnaloling'ang'angania kwa sababu mnazozijua wenyewe.

Hata hivyo ujue tu kuwa wimbi hili la mabadiliko halisimami tena.

*"Ule wakati wetu na Nyerere tulikuwa tunakubali lakini hawa vijana wa leo hawakubali, Bw. Sitta, ITS OVER*". -
Mzee Hassan Nassor Moyo, former SMZ/SMT Minister and ASP/CCM Veteran
Hivi ni kipi Bara wanachonyonya Visiwani mpaka useme Bara wana shamba wanaling'ang'ania???
 
Tanzania haiwezi kukwepa historia! Miungano yote ya kulazimisha inapata kifo cha asili. Iangalie USSR Kuanzia vita vikuu vya 2 Hadi 1990 au Yugoslavia chink ya Tito iliyogeuka kuwa nchi Saba za eneo la Baltic. Kwa hapa Africa angalia iliyokuwa Senegambia sasa hivi kuna Senegal na Gambia. Mambo ya muungano hayapaswi kulazimishwa bali watu waingie kwanhiari baada ya referandum.

USA ina muungano wa tofauti ambapo zile states ziliunganishwa kwenye umoja kwa civil wars zilizodumu kuanzia 1776 mpaka mwamzoni mwankarne ya 18. Lakini zile states Zina autonomy kubwa kisiasa na kiuchumi. Status ya Gavana wa California Schwazznegger yaweza kuwa kubwa kuliko hata PM wa Uingereza
Ule wa waliopigana vita hawakulazimishwa ila huu wa Zanzibar na bara ndo walilazimishwa???
 
Kama muungano usingekuwa wa mizengwa hata mimi ningeomba udumu milele. Ila huu wa sasa hata ukifa leo sitaweka msiba, maana ulishakufa siku nyingi.

Hakuna ndoa ya kulazimisha unayoweza kudumu labda mmoja wapo wa wanandoa afe prematurely.
 
Wazanzibar mnajua sana Kiswahili, labda utanielewa kwa hili: Inzi akikuzunguka zunguka usoni ndio kero. Mbu akikuuma, au nyoka, ni tatizo, anaweza kukuua. Muungano sio kero, ni matatizo. Kwa nini hatutumii Kiswahili fasaha kuelezea matatizo yetu?

Mtanganyika nikilipishwa ushuru wa mamilioni kwa kuingiza gari Tanganyika kutokea Zanzibar, hayo mamilioni ni kero au tatizo?

Ninapoona nyumba za ibada za dini isiyokuwa popular Zanzibar zinachomwa moto wakati wao wamejaa Bara huku wanafanya shughuli zao hakuna anaewabughudhi hiyo ni kero au kutafutana vita?

Ninapoona Bunge limejaa wawakilishi kutoka Zanzibar tofauti na uwiano wao, hayo mabilioni ya kugharimia hawa wabunge wa kigeni ni kero au balaa?

Ninapoona waziri wa Zanzibar anatangaza hadharani kimabavu kwamba hatalipia Umeme wakati mimi Mtanganyika sithubutu kuikoromea TANESCO, hiyo ni kero au uonevu?

Ninapoona nusu ya mabalozi, mawaziri wa Muungano, viongozi wa vyama, wanatoka sehemu moja ndoooogo ya nchi, hiyo ni kero au upendeleo?

Ninapoona kura yangu haina nguvu ikilinganishwa na Mzanzibar kwa sababu ya uwakilishi mkubwa wa Wazanzibar kwenye vyombo vya maamuzi, Bunge na Baraza la Wawakilishi, hiyo ni kero au nimebakwa kidemokrasia?

Ninapoona Mtanganyika hawezi kununua kiwanja kirahisi Zanzibar, kujenga, kuendesha biashara, hiyo ni kero au ubaguzi dhalimu?

Ninapoona Zanzibar inaandika Katiba inayokinzana na Katiba ya Muungano na kutangaza unilaterally kufuta kitu fulani katika orodha ya mambo ya Muungano, hiyo ni kero au jinai ya dharau?

Ndio maana wengine tunasema to hell with the Muungano!

Taso umemaliza!
 
Nimeipenda mkuu tunashukuru sana kwa uchambuzi wako.
 
Back
Top Bottom