Wadau ni nini maana halisi ya neno/maneno haya na yalianzia wapi?Na kwa nini yanasikika wakati mfungo wa dini mojawapo unaanzaaaa?
Kwa nini jamiii iwe na mtizamo wa namna hiii
Wadau ni nini maana halisi ya neno/maneno haya na yalianzia wapi?Na kwa nini yanasikika wakati mfungo wa dini mojawapo unaanzaaaa?
Kwa nini jamiii iwe na mtizamo wa namna hiii
kwi kwi kwi kwi kwi kwi yani saizi kuna wengine wanaoa wa kuwapikia futari,wengine ndio wanawapelekea vidumu vyao wakapige cha mwisho mwisho kwi kwi kwi kwi ila najiuliza kwanini sasa ikifika jioni wadada mnawaibia futari vidumu vyenu kwenye kanga mnawapelekea kwenye mageto yao
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.