Ukitaka kucheka zaidi fungua hata blogs za Salehjembe.com au mwungwana blog halafu uwezeshe tafsiri ya habari yao kwa kizungu...utavunjika mbavu hadi ujishangae[emoji23] [emoji23] aliyekuja na idea ya google translate alikua anavuta sigara kubwa, majibu mengi huwa yanachanganya...