naona wazee wa mtwara wamefika dar wamesahau madai yao ya gesi na badala yake wanakomaa na TOTOZ za jiji.... chezea magamba wewe... wakitoka hapo gesi hiyooo bagamoyo
naunga mkono hoja asilimia mia kwa mia!!!tena hapa washalambishwa kale ka chenji za lumumba ndo doooo!!!si miuno hiyo...hawa watakuwa ccm
Watu wa pwani wanapoteza oooooh namuonea huruma!huyu bwashee badala ya kutafuta hela yeye kaingia kwenye mambo ya pwani.du.
Aombe asiwe mke wa mtu,mbona atalivunja hilo jungu vizuri zaidi????