Ahsante mkuu, very soon nitakutafta, contact yako ninayo. Cha mhimu isiwe feki, na itoke kule makao makuu ya SAMSUNG. Vp inaweza kufika 500?550 tu mzee
S7 edge bei gan??
hah hah ORIGINAL TUPU kiongozi...kuna watu humu nushafanya nao biashara wakafurahi nashangaa hawajitokezi kutoa ushuhuda...au kwakua sio kanisani....karibu sana CHIEF!Mkuu kweli we vunja bei...
Nitakutafuta Mkuu ila zisiwe za akina wuuu-haaa
Duuuh hiyo ni parefu kwangu,vip note 3¿zipo mpyaaa gold color nauza 750 tu