Vumwe Vwa Vaathu

Aaah hapo hakuna cha vumwe vwa vaathu wala mini, hiyo mambo ni maarufu kila kona ya nchi. Hapo ukipata na chai ya rangi ulaya ulaya...
 
Hii menyu si ya kitoto...nimekumbuka mbali sana, sehemu inaitwa kakola Tabora 80s. Na nikadhani hii style ni tabora tu. Sie tulikua tunashushia uji wa chumvi hii
, wenzetu wanalalamika sukari
Ila nimesahau jina la hiyo kitu kama boga...hapa dar yanapatikana wapi wakuu
 
kweli hiimendo wake ni uji zaidi
 
ukiwa unakula namna hii nguvu za kuleta heshima nyumbani hazipungui na mke atakuheshimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…