KERO Vumbi la koyla changamoto kubwa Kiomoni

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

popah21

Member
Joined
Jun 8, 2023
Posts
19
Reaction score
10
Wananchi na wakazi wa kata ya Kiomon hususani wanaoishi katika mtaa wa Kiomon tumekua tukipata kadhaa kubwa ya vumbi la Koyla kutoka katika viwanda vinavyozalisha chokaa, hususani kiwanda cha NEELKANTH, kila inapofika majira ya saa 4 usiku kila siku vumbi lisilo la kawaida limekua likifika Kwa wananchi, mamlaka ziko wapi na suluhisho litakua lipi wadau?
 
Kiwanda kimewafuata nyie au Nyie mmekifuata kiwanda?
 
Kiwanda kimeanza mwaka 2007, mtaa awali ulikua Kijiji na hadhi ya kua Kijiji ilikuapo tangu mwaka 1942, hivyo Kijiji ndy kilianza na kiwanda kikafata
 
Hilo Vumbi mmelipa Jina La Muvi ya Kihindi ya Shah Rukh Khan ambapo alimezeshwaga kokoto na Dingi la Kinoma Dingi La Unyambisi Mzee Mzima Amrish Puri (Om Shanti Om) akawa bubu. Je Hilo Vumbi la Koyla kutoka Neelkanth linawafanya muwe bubu?
 
Kiwanda kinaendeshwa Kwa asilimia kubwa na watu kutoka Asia wengi wao ni wahindi, hivyo maneno ya kihindi kuyakut ni sehemu ya kawaida, lkn kama ulivyosema Koyla maana yake ni kaa la moto hivyo kaa Hilo la moto linapochomwa ukichanganya na mawe kunazalishwa vumbi lenye carbon nyingi linaloingia kwenye mwili wa binadamu kupitia puani na side effects ni kifua kikuu, ambapo Kwa takwimu za hospitali ya rufaa ya mkoa wa Tanga inaonyesha Tanga kuna idadi kubwa ya wagonjw wa kifua kikuu hususani maeneo ya uchimbaji ambapo ndipo tunapopaongelea hivyo hazitufanyi TUWE mabubu ndio mana tumekua kwenye public space kutoa opinion zetu na tujue tunapata vipi msaada kutoka kwenye mamlaka husika
 
Attachments

  • IMG_20250316_100818_966.jpg
    IMG_20250316_100818_966.jpg
    1.1 MB · Views: 21
Hilo ni vumbi linalobaki kwenye mimea, Kwa siku kama mbili nyuma kulikua na mvua hapo ndy linaonekana hvyo, fikiria ni vumbi kiasi gani linaloingia ndani ya mapafu ya wakazi wanaoishi maeneo ya karibu,na kwa Hali ilivyo unahisi jamhuri itatumia gharama kiasi gani katika kupambana na kudhibiti TB?
 
Kiomoni Tanga?
 
Back
Top Bottom