Vumbi la Kongo

Vumbi la Congo huvai condom mkuu,athari yake ni kupata ukimwi uhangaike nao!
 
Miaka 10 ijayo tutakua na vijana na wazee ambao hawawezi show kabisa wengii.
 
Mtumiaji yeyote wa vumbi la Kongo madhara anayopata ni 1: kuathirika kisaikrojia ,hawezi piga game mpaka apake vumbi
2๐Ÿ˜›ia mtumiaji wa vumbi analazimika kutembea na kichupa chenye hilo vumbi mithili ya bibi mvuta ugoro na kichupa chake
 
Mimi nadhani hiyo ganzi ndio mwanzo wa matatizo,maana ninahisi mtumiaji atakapozidi kutumia ndo inaweza kufikia hatua hata kuua mishipa kutokana na hiyo ganzi.Wewe vuta picha unapokuwa umekufa ganzi kiungo chochote Cha mwili,mawasiliano huwa yanapotea kwa mda Sasa mfano hiyo hali ikizidi si unaweza kupooza?Sasa na hilo vumbi ukiliendekeza linaweza kupelekea dudu kupooza huko mbele ya safari.
 
Mtumiaji yeyote wa vumbi la Kongo madhara anayopata ni 1: kuathirika kisaikrojia ,hawezi piga game mpaka apake vumbi
2๐Ÿ˜›ia mtumiaji wa vumbi analazimika kutembea na kichupa chenye hilo vumbi mithili ya bibi mvuta ugoro na kichupa chake
hahahaha eti ana tembea na kachupa kama bibi mlaa ugoro
 
Daah wahuni wanapaka vumbi la kongo matakoni๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
 
Ndiyo maana kuna madai wanafunzi wa kigoma wanalipaka kwenye makalio wakichapwa shuleni wasihisi maumivu.
Sio kweli, vumbi la Congo linafanya kazi sehemu laini yenye mishipa mingi ya damu/fahamu.
Nikiwa mkoani nalipataje maana naona sikukuu zimekaribia na nina milupo kama 7 hivi
Kama unahitaji njoo PM
Kila kitu kina madhara, vingine ukitumia kupitiliza unapata madhara.
Kama unatumia vumbi bc tumia kwa kiasi na sio kila game unapaka.
2๐Ÿ˜›ia mtumiaji wa vumbi analazimika kutembea na kichupa chenye hilo vumbi mithili ya bibi mvuta ugoro na kichupa chake
Sio kweli, vumbi la Congo linafanya kazi ndani ya saa 24, hvy huwezi kupaka asubuhi then ukaendelea kuibeba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ