henry normal
Senior Member
- Jun 13, 2015
- 120
- 31
Naitaji au natafuta chumba cha kupanga morogoro mjini garama iczidi 20 au 25...
Naitaji au natafuta chumba cha kupanga morogoro garama iczidi 20 au 25...
Elf 7000?? Hicho chumba kamaChumba kipo Mtimbira hapa mkoani Morogoro, bei Tsh 7000 tu kwa Mwezi
Unapajua MTIMBIRA?Elf 7000?? Hicho chumba kama
Co banda la kuku cjui
Dhuu!!!hlo jina tu hata stakUnapajua MTIMBIRA?
15000auChumba kipo nanenane A bei ni 150,000 kwa mwezi . Umeme upo isipokuwa maji ndio ua kuhemea masaa 800 (mia nane)
Bei nzuri, sidhani kama bado ipo waziKipo ki cottage Kihonda mizani, Chumba, sebule, store na choo cha ndani, Tshs. 60,000/-