Vuguvugu la mapindizi lanukia Tanzania

Vuguvugu la mapindizi lanukia Tanzania

Emma M.

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2009
Posts
204
Reaction score
6
Kuna uwezekano mkubwa vuguguvu la MAPINDUZI linaloendelea katika nchi za kiarabu kuibukia nchini tanzania.
Sijui kama kwa tanzania litafanikiwa au la.
Wachuguzi wa mambo ya siasa wanafikiri kuwa uongozi wa rais kikwete utakomea njiani.
Pia inasemekana kuwa watanzania wengi wako tayari kujiunga na vuguvugu hilo kutokana na usanii wa serikali ya kikwete kukua siku hadi siku.serikali ya kikwete haijali maisha ya mwanchi wa kawaida.
Mwasemaje wana jamii?
 
Yaani TZ tukiacha nidhamu ya woga tuliopandikizwa na uongozi wa chama kimoja mbona hili linakuja punde tu
 
Yaani tz wangekuwa na nizamu kama ya watu wa arusha na mwanza mbona hata kesho linawezekana...mimi nitahamasisha kwetu shinyanga...
 
NAIPENDA SANA SIKU HIYO,NAITAMANI SANA NA NITAIPOKEA KWA MIKONO MIWILI

vugu vugu na lianze hima
 
All the ingredients required for a change in the top leadership of this country are open for everyone to see!! Mimi kwa mfano siamini kabisa kuwa milipuko ya mabomu kule Mbagala na Gongo la Mboto ni ajali; kwani maghala ya haya mabomu hayapo Dar tu yametapakaa kwenye kambi nchi nzima, na kama ulipukaji unasababishwa na uchakavu wa hayo mabomu kwanini mabomu ya Dar tu yalipuke na sio ya huko bara wakati yaliletwa wakati mmoja?Haiwezekani silaha kama hizo zikaletwa na zote zikawekwa kwenye kambi moja lazima zitasambazwa. Ukweli unafichwa kuwa huko jeshini kuna tabaka la maofisa na askali wa kawaida; hawa wa chini wanamalalamiko yao kwani maofisa ndio wanaofaidi marupurupu mengi, na ikumbukwe tu kuwa wanaolinda haya maghala ya silaha sio maofisa bali askari wa kawaida!!
 
Umenena mkuu rejea thread hii pia
Niliyotonywa baada ya kulonga na mwanajeshi LUGALO
 
Shehe msanii, anatabiri baada ya kuona vuguvugu? Hata asingetabiri, wakati umefika lazima yatatokea tu. SOLIDARITY FORVER & ALUTA CONTINUA wapenda nchi.
 
naipenda sana siku hiyo,naitamani sana na nitaipokea kwa mikono miwili

vugu vugu na lianze hima

hata polisi wetu wanaisubiri siku hiyo kwa hamu kubwa.
Wako tayari kuwalinda waandamanaji.

09_09_c440fg.jpg
 
kwa kweli.....nasikia Sheikh Yahya amemtabiria March 13 kitu kinalipa
 
Wacha tu wawalipue ,watu hawajapata mishahara yaohadi usawa huu, na bado kuna rumours kuwa yale makato ya polisi yanaendelea kwa wanajeshi mwezi huu!
 
Kuna uwezekano mkubwa vuguguvu la MAPINDUZI linaloendelea katika nchi za kiarabu kuibukia nchini tanzania.
Sijui kama kwa tanzania litafanikiwa au la.
Wachuguzi wa mambo ya siasa wanafikiri kuwa uongozi wa rais kikwete utakomea njiani.
Pia inasemekana kuwa watanzania wengi wako tayari kujiunga na vuguvugu hilo kutokana na usanii wa serikali ya kikwete kukua siku hadi siku.serikali ya kikwete haijali maisha ya mwanchi wa kawaida.
Mwasemaje wana jamii?

Frasturations za kushindwa uchaguzi 2011!
 
Frasturations za kushindwa uchaguzi 2010! Jipangeni 2015!
 
tuanze wiki ijayo. Nilitaka kuona maandamano ya Mwanza yasiwe na kikomo. Tuanze maandamano yasiyo ya kikomo. yaani ni tumechoka isvyo kifani. Peoples poweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeerrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr
 
All the ingredients required for a change in the top leadership of this country are open for everyone to see!! Mimi kwa mfano siamini kabisa kuwa milipuko ya mabomu kule Mbagala na Gongo la Mboto ni ajali; kwani maghala ya haya mabomu hayapo Dar tu yametapakaa kwenye kambi nchi nzima, na kama ulipukaji unasababishwa na uchakavu wa hayo mabomu kwanini mabomu ya Dar tu yalipuke na sio ya huko bara wakati yaliletwa wakati mmoja?Haiwezekani silaha kama hizo zikaletwa na zote zikawekwa kwenye kambi moja lazima zitasambazwa. Ukweli unafichwa kuwa huko jeshini kuna tabaka la maofisa na askali wa kawaida; hawa wa chini wanamalalamiko yao kwani maofisa ndio wanaofaidi marupurupu mengi, na ikumbukwe tu kuwa wanaolinda haya maghala ya silaha sio maofisa bali askari wa kawaida!!
Sasa nani nani ataanzisha wanajeshi au Raia?kama mabomu washalipua mbona serikali bado ipo?
 
All the ingredients required for a change in the top leadership of this country are open for everyone to see!! Mimi kwa mfano siamini kabisa kuwa milipuko ya mabomu kule Mbagala na Gongo la Mboto ni ajali; kwani maghala ya haya mabomu hayapo Dar tu yametapakaa kwenye kambi nchi nzima, na kama ulipukaji unasababishwa na uchakavu wa hayo mabomu kwanini mabomu ya Dar tu yalipuke na sio ya huko bara wakati yaliletwa wakati mmoja?Haiwezekani silaha kama hizo zikaletwa na zote zikawekwa kwenye kambi moja lazima zitasambazwa. Ukweli unafichwa kuwa huko jeshini kuna tabaka la maofisa na askali wa kawaida; hawa wa chini wanamalalamiko yao kwani maofisa ndio wanaofaidi marupurupu mengi, na ikumbukwe tu kuwa wanaolinda haya maghala ya silaha sio maofisa bali askari wa kawaida!!

Bulesi, nakubaliana na hisia ulizotoa na nimekugongea thanx.
 
Back
Top Bottom