haibreus
JF-Expert Member
- Oct 1, 2009
- 295
- 106
Frasturations za kushindwa uchaguzi 2011!
Hii sijaielewa maana yake!
Frasturations za kushindwa uchaguzi 2011!
MAPINDUZI ni lazima.All the ingredients required for a change in the top leadership of this country are open for everyone to see!! Mimi kwa mfano siamini kabisa kuwa milipuko ya mabomu kule Mbagala na Gongo la Mboto ni ajali; kwani maghala ya haya mabomu hayapo Dar tu yametapakaa kwenye kambi nchi nzima, na kama ulipukaji unasababishwa na uchakavu wa hayo mabomu kwanini mabomu ya Dar tu yalipuke na sio ya huko bara wakati yaliletwa wakati mmoja?Haiwezekani silaha kama hizo zikaletwa na zote zikawekwa kwenye kambi moja lazima zitasambazwa. Ukweli unafichwa kuwa huko jeshini kuna tabaka la maofisa na askali wa kawaida; hawa wa chini wanamalalamiko yao kwani maofisa ndio wanaofaidi marupurupu mengi, na ikumbukwe tu kuwa wanaolinda haya maghala ya silaha sio maofisa bali askari wa kawaida!!
Njia rahisi ni bunge....likivunjika tu uchaguzi huu hapa na JK hawezi kugombea tena...hivyo mkakati ni jinsi gani kuwashawishi 2/3 ya wabunge kujiuzulu