Vuguvugu la Mabadiliko: CHADEMA kuwasha moto Monduli | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vuguvugu la Mabadiliko: CHADEMA kuwasha moto Monduli

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by SEBM, May 31, 2012.

 1. S

  SEBM JF-Expert Member

  #1
  May 31, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 496
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Katika kuendelea kueneza elimu ya Uraia, kuimarisha Chama na kueneza dhana ya Vuguvugu la Mabadiliko(M4C), na kuzindua Ofisi ya Chama Kata, viongozi waandamizi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) wikiendi hii watafanya mkutano mkubwa wa hadhara katika Mji Mdogo wa Mto wa Mbu ulipo jimboni Monduli.

  Mkutano huo utakaoongozwa na Wabunge (Wah. Mch. Natse, Nassari na Gekul) na Viongozi wengine, unategemewa kuufanya mji huo na kata zake jirani za Esilalei, Makuyuni na Majengo kuwa ngome ya CHADEMA jimboni humo.

  Wananchi wengi wamejaa hamasa ya kutaka kusikia ujumbe huu wa mabadiliko na nyumba nyingi za maeneo ya Korea, Kisutu, NHC(Shirika), Sabato, Jangwani, Magadini na Kigongoni zimeonekana kupambwa kwa bendera za CHADEMA.

  Hata hivyo, kuna habari kwamba vijana kadhaa wanaoendesha Bodaboda ambao walijipanga kuupokea msafara wa viongozi wa Chama kutoka Kata ya Makuyuni(umbali wa Kilometa 35) wamezuiliwa kufanya hivyo.

  Nitawapasheni kinachojiri LIVE kutoka mkutano huo na kuwawekeeni picha.

  NGUVU YA UMMA
   
 2. M

  Molemo JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Pamoja sana
   
 3. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Vizuri sana. Mkitoka huko mkavamie yale matawi mawili aliyozindua Maige jana huko Msalala.

  TUMBIRI (PhD, Hull University - UK),

  tumbiri@jamiiforums.com
   
 4. Nanyaro Ephata

  Nanyaro Ephata Verified User

  #4
  May 31, 2012
  Joined: Jan 22, 2011
  Messages: 979
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Boda boda hazijazuiwa na mapokezi yapo pale pale,tutaondoka Arusha saa nne asubuhi.Baada ya Monduli tunaelekea wilaya ya Ngorongoro
   
 5. S

  SANING'O LOSHILU Senior Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 144
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tutasubiri sana kamanda tunaomba ufuatilie vizuri
   
 6. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  CHADEMA watamfanya Mr. White Head akapelekwa Apollo kwa pressure
   
 7. M

  Mwanandani Senior Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 197
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Pamoja,Monduli mjini tuna jiandaa kufika mtoambu mapema sana naku endeleza arakati.vijana wa mstari wa mbele Monduli mjini.
   
 8. B

  BBA JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: May 27, 2012
  Messages: 319
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Angalien sana Lowassa asiwape hela, mambo yake amezoea kutoa rushwa!
   
 9. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kazi nzuri......wakati wao wanazidi kuumbuana nani gamba,sisi tumwage sera zetu
   
 10. L

  LOMAYANN JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 1,164
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  PAMOJA SANA MAKAMANDA MI MWENYEWE HAPA A. town nafikiria kufika kwenye huo mkutano wa M4C
   
 11. MARCKO

  MARCKO JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 2,265
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Huyo mzee anaweza akatemana na ccm na kuingia cdm any time. Yani sasa hivi ccm wakimzingua ndio ya mwisho. Oohoo!
   
 12. b

  bakene Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Operation twanga kotekote , kazi ipo
   
 13. leroy

  leroy JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 843
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 60
  ​Hivi CHADEMA wanelewa maana ya elimu ya URAIA?
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 359
  Trophy Points: 180
  Hawaelewi wafundishe.
   
 15. k

  kula kwa tindo JF-Expert Member

  #15
  Jun 1, 2012
  Joined: Nov 14, 2011
  Messages: 1,330
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Wewe na MAGAMBA wenzio ndio hamuijui Elimu ya Uraia. INAKUUMA SANA.. na bado
   
 16. S

  Sanare S Member

  #16
  Jun 1, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwani elimu ya uraia maana yake ni nini? Ingekuwa vizuri ukaelezea kwani pengine hata na wewe hujui na hujui kama hujui.
   
 17. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Hii inaitwa operation twanga kote kote. Magamba yaende baharini!
   
 18. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Muto ya mbu imetekwa toka NyinyiEM.
   
 19. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Mkuu Nanyaro Ephata tunaomba utupe ratiba ili tujue tunajipanga vp! Yaani lini mtakuwa Mto wa mbu na lini mtakuwa Ngorongoro!
   
 20. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Code:
  Hata hivyo, kuna habari kwamba vijana kadhaa wanaoendesha Bodaboda ambao walijipanga kuupokea msafara wa viongozi wa Chama kutoka Kata ya Makuyuni(umbali wa Kilometa 35) wamezuiliwa kufanya hivyo.
  Hakuna kinachoweza kubadili maamuzi vichwani mwa watu!
  Utawakataza kuendesha boda2, watakuja kwa baiskeli au magari au miguu.
   
Loading...