B baraka boki Senior Member Joined Sep 20, 2010 Posts 181 Reaction score 80 May 28, 2012 #1 kwa wale tuliokuwa jangwani juzi ule wimbo wa vua gamba vaa gwanda nitaupataje.kwa anayejua anielekeze mahali pa kuupata huo wimbo
kwa wale tuliokuwa jangwani juzi ule wimbo wa vua gamba vaa gwanda nitaupataje.kwa anayejua anielekeze mahali pa kuupata huo wimbo
Mawaiba JF-Expert Member Joined Dec 11, 2011 Posts 417 Reaction score 151 May 28, 2012 #2 baraka boki said: kwa wale tuliokuwa jangwani juzi ule wimbo wa vua gamba vaa gwanda nitaupataje.kwa anayejua anielekeze mahali pa kuupata huo wimbo Click to expand... Sasa hivi uko hewani katika redio za hapa Mtwara. Kama unaweza tune-in Info Radio Mtwara, makamanda wako ndani ya nyumba wanatupa vitu live. Radio zote Mtwara ziko full blast at 92.1 FM Info Radio Mt. Town. KARIBU SANA...!
baraka boki said: kwa wale tuliokuwa jangwani juzi ule wimbo wa vua gamba vaa gwanda nitaupataje.kwa anayejua anielekeze mahali pa kuupata huo wimbo Click to expand... Sasa hivi uko hewani katika redio za hapa Mtwara. Kama unaweza tune-in Info Radio Mtwara, makamanda wako ndani ya nyumba wanatupa vitu live. Radio zote Mtwara ziko full blast at 92.1 FM Info Radio Mt. Town. KARIBU SANA...!