PapoKwaPapo
JF-Expert Member
- Jun 5, 2008
- 380
- 45
Lini hiyo?
membe, chikawe,george mkuchika. nao wanatoka wapi na hao waislam hawajawaona hao.kusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.
kusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.
Hasa no. 3 ni afya kwa chama.Chadema kimetangaza kuandaa awamu mpya ya operesheni zake, ambayo safari hii kitapeleka nguvu zake katika mikoa ya Kanda ya Kusini, Lindi na Mtwara, ili kuuhamasisha umma kuleta mabadiliko na uwajibikaji serikalini. Hayo yalisemwa na Katibu wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika.
Amesema operesheni hiyo imelenga kushughulikia mambo matatu;
Amesema mamuzi ya kupelekwa nguvu za operesheni hiyo katika mikoa ya Kanda ya Kusini yalifikiwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema.
- kusimamia uwajibikaji katika ngazi zote za serikali, ili kuhakikisha changamoto zote zinazolikabili taifa zinashughulikiwa.
- kutoa elimu ya kisiasa kwa umma kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
- kujenga organaizesheni ya chama mijini na vijijini.
kusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.
Tatizo la kusini hawawaamini wachaga wa kaskazini!
Chadema kimetangaza kuandaa awamu mpya ya operesheni zake, ambayo safari hii kitapeleka nguvu zake katika mikoa ya Kanda ya Kusini, Lindi na Mtwara, ili kuuhamasisha umma kuleta mabadiliko na uwajibikaji serikalini. Hayo yalisemwa na Katibu wa Habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika.
Amesema operesheni hiyo imelenga kushughulikia mambo matatu;
Amesema mamuzi ya kupelekwa nguvu za operesheni hiyo katika mikoa ya Kanda ya Kusini yalifikiwa na Kamati Kuu (CC) ya Chadema.
- kusimamia uwajibikaji katika ngazi zote za serikali, ili kuhakikisha changamoto zote zinazolikabili taifa zinashughulikiwa.
- kutoa elimu ya kisiasa kwa umma kuhusu mchakato wa mabadiliko ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
- kujenga organaizesheni ya chama mijini na vijijini.
kusini makanisa ni machache mafanikio ya ziara hayatafanikiwa, kwa sababu kusini wanakiita cdm ni chama cha kikristo.
chadema kimetangaza kuandaa awamu mpya ya operesheni zake, ambayo safari hii kitapeleka nguvu zake katika mikoa ya kanda ya kusini, lindi na mtwara, ili kuuhamasisha umma kuleta mabadiliko na uwajibikaji serikalini. Hayo yalisemwa na katibu wa habari na uenezi wa chadema, john mnyika.
amesema operesheni hiyo imelenga kushughulikia mambo matatu;
amesema mamuzi ya kupelekwa nguvu za operesheni hiyo katika mikoa ya kanda ya kusini yalifikiwa na kamati kuu (cc) ya chadema.
- kusimamia uwajibikaji katika ngazi zote za serikali, ili kuhakikisha changamoto zote zinazolikabili taifa zinashughulikiwa.
- kutoa elimu ya kisiasa kwa umma kuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba ya jamhuri ya muungano wa tanzania,
- kujenga organaizesheni ya chama mijini na vijijini.
jamaa naona wana haha..baada ya dogo janja ulimi kumponyoka na kutoa siri..viongozi waandamizi wanahamaki. Sasa wana taka kuuwa soo eti wanakwenda kusini ili watanzania wajue kama cdm si chama cha kaskazini na kikanda. Tangu lini kusini ikawa ni priority ya cdm? Uchaguzi uliopita waliipa nusu siku tu kwa mikoa yote miwili.