VPN imenipa chombo kipya

Moja kwa moja kwenye mada.

Kama mnavyojua, inasemekana baadhi ya mitando mikubwa ya kijamii imefungiwa hapa nchini, kwahyo yakupasa kuwa na Virtual Private Network (VPN) ili kuaccess mitandao hiyo.

Ukiachilia mbali kua mfanyabiashara mkubwa hapa mjini wa maduka ya vifaa vya ujenzi, pia professional yangu ni IT.

Alikuja binti mmoja dukani kwangu, alivyokuja alinikuta naongea na Videocall whatsapp, baada ya kukata ili nimuhudumie alishangaa sana, akasema inakuaje mimi natumia whatsapp videocall bila shida wakati yeye akituma hata message haiendi, ilikua ni siku moja baadaya uchaguzi.

Basi nikampa somo kuhusu VPN, nikaingia kwenye simu yake, kwenye browser nikamdownloadia APK ya Turbo VPN baada ya kuinstall kitu kikakonect safi kabisa, alifurahi sana, akaniomba na namba yangu, ili kama ikimsumbua anipigie nimuelekeze, nikampa bila shida, nikamhudumia alichotaka pale dukani akaondoka.

Tuliwasiliana sana, kwasababu nina wateja wengi hapa niende tuu kwa kifupi.

Baada ya VPN kumsumbua akasema nimuelekeze sehem aje nimuwekee vzur maana kwenye simu kumuelekeza hatanielewa, basi nikamuomba tukutane lodge ili tupate na bia mbili tatu tukipiga story, ombi hilo ALILIKUBALI

Muda ukafika nikamuelekeza sehm husika akaja, nilimuwekea simu vzur wakat tukiendelea kunywa bia, nakumbuka baada ya simu kufaa, tulilewa, na baada ya kulewa tukalala usingz kitandani, yaliondelea siyakumbuk
Wew jamaa ulkua wapi.....MDA mwingi nilkua sion nyuzi zako..
 
Kondomu ukasahau kabisa

Alafu kibaya unakuta hiyo PISI nihizi toto za mujin zinazocheza Pono !!!!

Anza kujiwekea vikwazo mdogo mdogo Mr.Pompeo
Kwa mtiririko wa stori huyu mbwa hakukumbuka ndom
VPN imesababisha auze mechi kizembe kabisa.
We'll ban you from entering in the US
 
Back
Top Bottom