Kilangi masanja
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 4,622
- 5,251
nimejalibu Nani kuiga hiyo mambo but ap inaniambia niroot simu kwanza je nikiroot ntafanikiwa
Vp so kwa Airtel haitumiki make sijaona ka umeimention afu ndo natumia kaka
Sijajua nianzie wapi hapo
MBNA kimya wadau
nimejalibu Nani kuiga hiyo mambo but ap inaniambia niroot simu kwanza je nikiroot ntafanikiwa
nahitaj kuelimishwa juu ya kuroot cm yangu,model huawei y300-100-001
we nakushauri achana na VPN maana ku root ni story nyingine kwa newbies katika Android
Mkuu nataka kuroot simu yangu msaada
simu gani?
Je faida na hasara unazijua?
pitieni hapa kuhusu faida na hasara https://www.jamiiforums.com/tech-ga...l?highlight=android+phone+without+root+access
Galaxy grand gt19082 faida na hasara nazijua mkuu sema nilisoma mahali kuwa ukifeli inakuwa imekula kwako ni kweli?
Mkuu nimesoma hayo maelezo so naboot kwanza then ndo naingia kwenye hio odin ungeniwekea step by step kesho ningemaliza kazi