VPN gani nitaitumia?

VPN gani nitaitumia?

Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free??
Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
Hii hapa
Screenshot_20250913-010226.png
 
Kuna hii hapa inaitwa Proton, ni bure ukijisajili unachagua kifurushi cha bure , ila unaweza kusafiri nchi 4 tu, yaani leo uko US, kesho uko Holland au Romania, na wiki ijayo unatalii Japan....

1757723332518.png
 
Kuna mtu aliwahi shauri ‘TOR’ Browser unaipata JF bila ya VPN.

Sisi wahuku mipakani tunatumia lines za nchi jirani.
 
Kuna hii hapa inaitwa Proton, ni bure ukijisajili unachagua kifurushi cha bure , ila unaweza kusafiri nchi 4 tu, yaani leo uko US, kesho uko Holland au Romania, na wiki ijayo unatalii Japan....

View attachment 3470773
Hiko kifurushi Cha Bure unaweza kuperuzi YouTube, Insta bila bando ?
 
Back
Top Bottom