brave Mwafrika
JF-Expert Member
- May 2, 2019
- 248
- 143
Habari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free??
Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
Hii unaweza kuperuzi for free ?Secure VPN
Hiyo free unamaanisha Nini, free data ama?Hii unaweza kuperuzi for free ?
Namaanisha hiyo "secure VPN " ni Vpn ya kitonga yaani bila kuweka bando unaweza kuperuzi ?Hiyo free unamaanisha Nini, free data ama?
Ipo lakini mwisho mb 60 tuNamaanisha hiyo "secure VPN " ni Vpn ya kitonga yaani bila kuweka bando unaweza kuperuzi ?
Kama MB 60 si Bora nitumie za tuzo points tuIpo lakini mwisho mb 60 tu
Hapana mkuuNamaanisha hiyo "secure VPN " ni Vpn ya kitonga yaani bila kuweka bando unaweza kuperuzi ?
😃😀😀 Exactly 💯 mkuu au tumia hii kama mtaani kwenu washafikaKama MB 60 si Bora nitumie za tuzo points tu
Nimezoea nilipotoka full Wi-Fi muda wode najiachia sasa hivi natumia bando la kwangu naenda kwa bajeti Kali ni JF , gugo , Al tu . YouTube nachungulia kwa machale Insta ndio nimeacha kabisa.Hakuna kwa sasa mkuu nunua bando tu au lipia unlimited data
Unlimited kwa muda gani ?😃😀😀 Exactly 💯 mkuu au tumia hii kama mtaani kwenu washafikaView attachment 3466370
Hii ikoje mkuu😃😀😀 Exactly 💯 mkuu au tumia hii kama mtaani kwenu washafikaView attachment 3466370
Turbo VPN hutajutaHabari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free??
Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
Sasa ulicoment hapo 'Secure Vpn ' ulikuwa unamaanisha Nini na kwa Lengo lipi ?Hapana mkuu
Nasubiri jibu piaHii ikoje mkuu
Vya bure vinauaHabari za jioni, naomba kujua nitumie VPN gani ili niweze kutumia network for free??
Mimi natumia laini ya Halotel pamoja yas
Haviui mkuu ndio maana umetoa ushauri wa Bure hapo ☝️☝️☝️Vya bure vinaua