kichwa nazi ulicheki naye?
Haya huyo kalipia kuweka advert katika blog tunakoelekea huku mjiandalie pancha yaani mtandao unawekwa kabisa bila chenga
MAGIC SIM CARD FREE UNLIMITED INTERNET ~ BUGANDO BLOG
ya tayar.. kuna mkuu katoa wazo zuri hapo juu,, saiv tuende kwa pm tu,, hata basi likipata ajali(karibuni) tuzidi kukamua kimyakimya kwa wale wenye uchungu..
kichwa nazi ulicheki naye?
Haya huyo kalipia kuweka advert katika blog tunakoelekea huku mjiandalie pancha yaani mtandao unawekwa kabisa bila chenga
MAGIC SIM CARD FREE UNLIMITED INTERNET ~ BUGANDO BLOG
Huyo dogo mbona analeta mambo ya kiboya sasa? Mbona kaanika hadi mtandao kule kwenye blog yake? Si mambo ya kitoto haya? Anayemjua amwambie atoe ile advert ah$/@>%{#^]'
huyu member wa hapa JF Sadru
Lkn issue ije mtu kama unamuibia basi usimwambie iwe kimya kimya
sana sana kutaja unayemuibia ni issue kubwa sana yaani hata kama ningekuwa mm ningejisikia vibaya kujua lets say mke wangu anaibiwa....borea aliwe kimya kimya kuliko kuliwa nikajua
kumbe msaliti wetu yupo hapahapa,, inasikitisha kweli,, wewe sadru umeona wapi watu wana akili kama zako?
haya kaondoe upesi utumbo wako kule kabla hatujaiweka juuu chini,chini ju blog yako.
jamaa keshaharibu mambo voda wakijua 2mekwsha
- Kama unatumia MAC OSX 10.6 or New version
- Nijulishe nikupe kitu unlimited, Huto lipia chochote.
- New tunnel VPN with 24 servers, all supporting Torrents. With supper speed
Hizo server za torrents ziko nyingi sana na kuna wakati ziko slow. Kuna ambayo unaijua iko fast mda wote au ndo kucheza na kubahatisha mida?
Sasa na wewe mbona unaongezea kutuvua nguo jembe? Jamaa wana mawakala wao humu km vipi ifute hiyo coment mkuu
mkuu mi natumia mac osx 10.9.... Ebu nipe ma ujanja nile cha bure....
mkuu nisaidie hiyo ya mc please
- kama unatumia mac osx 10.6 or new version
- nijulishe nikupe kitu unlimited, huto lipia chochote.
- new tunnel vpn with 24 servers, all supporting torrents. With supper speed