mimi natumia zorin os nadhani hayo makitu yatanifaa so nipe pande mkuu
Unaua sasa WamaVPN! Ebu mpe support bhana KRAPKA DAVINOOOO!!
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
NADHANI KUNA MANENO YATAKUWA YANAWEKWA PALE KWENYE APN AU KUNA NAMNA YA KUIFANYA ICONNECT
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
yap inawezekana kabisa,, hata ikivuja apn hawa jamaa wako macho 24/7.. fasta wanafunga,, hehe wengi wetu mashahidi humu.
​Karibu
- Zorin OS ni linux based OS
- Sijawahi tumia hii zorin os
- Tunnel zilizopo sokoni ni kwa MAC OSX 10.6 au zaidi na WINDOWS kama ujuavyo.
Unayo 20,000/- nikupe namba ya huyo jamaa anauza hizo settings maana mm nimepewa namba yake lkn hiyo nimekataa maana mwenyewe cracker ntakomaa ntazipata
Hapana sina voucher za droidVPNuna voucher za droidvpn?
sikia tuchange tuwatafte wadau kama kichwanazi na yoyote yule then tukipata tunakuja kushare pm,, lakin nakushangaa ww ndo reseller wa mavpn unaona tabu kutoa buku 20.
- Mkuu DEVUKOTA kitambo hujaonekana hapa jukwaani , ulikuwa wapi ndugu? KRAPKA DAVINOOOO!!
Siku hizi madogo hawana Adabu na basi hili linapinduka sio mda mrefu upepo ushaharibika
Mtakaso nyote
Na hiyo itakuwa mwisho wa kufanya buz za free net JF sababu itakuwa ajari ya pili
waulize akina never giver up,big boi,Biohazard kwa nn waliacha hadi kuja hapa JF sababu ya ile ajari ya zantel na wenyewe ndo walikuwa pioneers kasome nyuzi za munjy1 na pd proxy huone waliokuwa mstari wa mbele najiulize kwa nn waliona jf ni uzushi

ishu kam hiz kama watu hawajawa ki2 kimoja kam ilivokuwa enzi zilee, mambo hayaendi sawa.. lakin bwana mkubwa ww ndo ulianza,nakumbuka ulikuwa unamkosoa paje hadharan,, wataalam wakinuna tutabakia underground tunahaha,tunachojali pesa na maslahi mbele bila utu. mkuu paje na e2themiza ni msaada mkubwa hapa jukwaan ila baada kuona kuna wanafiki hapa wamekata chochoro.. pia kuna uwezekano hawa marafiki wazaman wote wako chimbo moja,,, ndo mana tunaskia kuna watu wanauza apn setting kwa buku 20.. pathetic! tungekuwa ki2 kimoja leo tungepata hizo tricks for free kabisa.Tusipojirekebisha HUKO TUENDAKO NI BALAA ZAIDI,, yangu macho.
sikia tuchange tuwatafte wadau kama kichwanazi na yoyote yule then tukipata tunakuja kushare pm,, lakin nakushangaa ww ndo reseller wa mavpn unaona tabu kutoa buku 20.
Siku hizi madogo hawana Adabu na basi hili linapinduka sio mda mrefu upepo ushaharibika
Mtakaso nyote
Na hiyo itakuwa mwisho wa kufanya buz za free net JF sababu itakuwa ajari ya pili
waulize akina never giver up,big boi,Biohazard kwa nn waliacha hadi kuja hapa JF sababu ya ile ajari ya zantel na wenyewe ndo walikuwa pioneers kasome nyuzi za munjy1 na pd proxy huone waliokuwa mstari wa mbele najiulize kwa nn waliona jf ni uzushi
Siku hizi madogo hawana Adabu na basi hili linapinduka sio mda mrefu upepo ushaharibika
Mtakaso nyote
Na hiyo itakuwa mwisho wa kufanya buz za free net JF sababu itakuwa ajari ya pili
waulize akina never giver up,big boi,Biohazard kwa nn waliacha hadi kuja hapa JF sababu ya ile ajari ya zantel na wenyewe ndo walikuwa pioneers kasome nyuzi za munjy1 na pd proxy huone waliokuwa mstari wa mbele najiulize kwa nn waliona jf ni uzushi
Hapo umenena mkuu me niko tayari tufanye huo mchakato elfu ishirini kwa sisi tunaopenda kujua vitu vingi sio tatizo
ok kwa kuanzia tungemuomba wamavoko atuhakikishie huyo jamaa kam ni mkweli,, then kila anaetaka anipm mm.. buku 20 tungepata wa2 kam 10 na kila m2 atoe buku 2.. wale wanaorun mda wote hili jukwaa na wenye moyo wa kweli watapewa priority.. kam kichwanazi,baada ya hapo tutamkabidhi ndugu njunwa,, kitachofata ni kushare hizo setting kwa walochangia.. au mnaonaje wakuu?
Buku 2 ipo tayari hapa je kijumbe wa huo upatu ni nani?
ebanA enhe.......!!!!Kama nilivyosema MADOGO hawana adabu hivo sijawa na uhakika kama ntashare hii kitu na watu wote maana jamaa nshamtumia mpunga hapa ananitumia Settings sio mda ntapiga screenshots kuwaonesha mambo yakitiki