VPN baba lao

VPN baba lao

kambagasa

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2014
Posts
2,271
Reaction score
1,809
Tangia asubuhi wananipeleka machaka ambayo ndio dream yangu kuyafikia siku nikitoboa. Kuna muda wamenipeleka kwa Trump,sijakaa vizuri wakanipeleka Belgium bado natafakali wakanishusha Paris kwa Emanuel Macron!! Nikiwa bado sina hili wala lile tayari washanipeleka German kwa mama yenu Angela Merkel
Screenshot_20201030-161922_1604064229145.jpeg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom