VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar

Simba anaelekea kushindwa nguvu ya kujinasua kwenye mtego wa mwindaji kutoka kule misenyi.
 
Hii timu sasa inahitaji maombi ya kufunguliwa labda kuna maagano Rage alifanya nayo.
 
Dakika zinayoyoma bado matokeo simba 0-1 kagera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…