VPL: Simba SC Vs Kagera Sugar

dan serenkuma nje anaingia said ndemla
 
Mwakani Simba itacheza mtani jembe ikitokea ligi daraja la kwanza.
 
kule mbele hakuna straika hisia zinaanza kuja kumuacha tambwe ilikuwa ni kosa kubwa
 
Zimepipigwa gonga one two one two hapa na Simba,Ndemla anabutua juuu
 
Ha ha hahaaaaaa safi sana, Kagera Sugar.
Hapo hakuna cha Serunkuma wala mbadala wake.
Simba mpoooo!!! Katavi kaka, mnaweza kwenye vibonanza tu?
 
Last edited by a moderator:
Mwanzo wa ligi wachambuzi wetu uchwara walikuwa wanalaumu kuachwa kwa Musoti, kuanzia leo wataanza kulaumu kuachwa kwa Tambwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…