vp wadau!

kajoli.com

Member
Joined
Mar 4, 2012
Posts
42
Reaction score
5
Nikiwa ni mgeni kabisa kwenye Forum hii nashukuru kwa kuwa mtanipokea na kunipa ushirikiano mzuri kama ule nitakaowapa Ninaitwa kajoli.com natoka pande za Simanjiro mie ni mtaalamu wa shughuli za sanaa na maswala mbalimbali ya kijamii, Ni mpenzi sana wa habari ninayependa kusikia kutoka kwa wengine, kujifunza nami kuwashirikisha wengine mawazo yangu nategemea ushirikiano wenu!! Kajoli.com
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…