Shhhhh..vikao vya ndani vya chama wamesema sisi watu wa chama tusiongelee suala la Ben..Hivi Ben jamani ndio inakuwaje..!!
Sitaki kuamini kama hataonekana tena..
Duu.
Let us hope kuwa atarudi.Hivi Ben jamani ndio inakuwaje..!!
Sitaki kuamini kama hataonekana tena..
Duu.
kura yangu ingeharibika..maana ningechora katuni au ningetoa tusi.
Siku akiwashughulikha mmojawapo kati ya Lowasa, Chenge, Tibaijuka na yule aliyeuza nyumba za serikali nitakubaliana nawe.Acha unafiki muda wake umeshapita kwa sasa Rais ni J .P .Magufuli kiboko ya mafisadi na malanguzi na mivivu yote ya kiakili na kimwili fanyeni kazi na asiyefanya kazi na asile Hata kwenye Biblia Takatifu imeandikwa .
JPM, tena ntahakikisha nachakachua mpaka ashinde kwa kishindo kikuu