Are you from Ghana!??? You are not serious kabisa ujueMpigie tu kura, ila mimi kura yangu inaenda kwa H.E Nana
Haiwezekani, NEC lazima wamehusika kuibaView attachment 1665596
Dr. Magufuli has already won it
Haiwezekani, NEC lazima wamehusika kuiba
Najiuliza kafika vipi kwenye hiyo list nakosa majibu.Shetani tena?
Last time napiga kura Nana alikuwa na 42 na jiwe lilikuwa na 55.View attachment 1665596
Dr. Magufuli has already won it
Yani akipata atajisifia na atajiona keki maana taona hakuna kama yeye Africa na dunia nzima, mi nahisi NEC wameiva kueaNajiuliza kafika vipi kwenye hiyo list nakosa majibu.
Na akishinda naona vile atashupaza shingo kwa kigezo kuwa anakubalika kuliko maraisi wengine.
Duh watu wanaenda kusawazishafollow the link to vote
African Leadership Magazine Persons of The Year 2020 - African Leadership Magazine
1. African of the Year 2020 Winner: Dr Tedros Adhanom Ghebreyesus, Director General, WHO Runner up: Strive Masiyiwa, Founder, Econet Group, Zimbabwe (Co-winner) 2. African Political Leader of the.t.co
Katika Category hii Rais wetu Magufuli pia ni miongoni mwa nominees,sema mimi Mtende nimeona anaestahili hii award ni Rais wa Ghana, karibuni tumpigie kura kwa wingi
Happy new year to you all.
View attachment 1665535
Hata wahusika wa kutoa hizo tuzo wanaonesha udhaifu mkubwa sana kuruhusu upupu kwenye bwawa la samaki.Yani akipata atajisifia na atajiona keki maana taona hakuna kama yeye Africa na dunia nzima, mi nahisi NEC wameiva kuea
Lets cross fingers and toes, Nana AshindeDuh watu wanaenda kusawazisha View attachment 1665616
Bora hata wangemweka Uhuru na Ramamphosa, hata kagame afadhaliHata wahusika wa kutoa hizo tuzo wanaonesha udhaifu mkubwa sana kuruhusu upupu kwenye bwawa la samaki.
Yani hana vigezo vya kuwepo ktk hiyo category.
Kwa ufupi anastahili kuwa kwenye category moja na kina kaguta
Matokeo yanabadilika hayo, jiwe linageuzwa changaraweDuh watu wanaenda kusawazisha View attachment 1665616