Suti na Tai
Member
- May 4, 2012
- 35
- 19
African Music Magazine Awards (AFRIMA) imetoa nominees wanaowania tuzo mbalimbali barani Africa! Kwa upande wa Tanzania wasanii waliochaguliwa ni pamoja na Diamond Platnumz (5 categories), Lady J-Dee (1), Mpoto (1) , Ben Paul (1) na Shedy clever (1).
piga kura kupitia link hii:
http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/
piga kura kupitia link hii:
http://afrimma.com/afrimma-nominees-2014/