volunteer system networking/ICT

Kakakuona

JF-Expert Member
Nov 15, 2013
345
198
Habari wakubwa,Mimi ninafani ya IT naomba kuvolunteer post yoyote inayohusiana na system network/ICT,naomba msaada wenu natanguliza shukruni! Namba yangu0788272824 nipo dar es salaam
 
Ukisema unafani ya IT una maana gani? Umesoma nini,uzoefu vipi na sasa hivi unafanya nini? Toa maelezo yenye kueleweka.
 
jamaa anaulizia kuhusu volunteer, dats means ni fresh from university,sasa wewe unataka akuambie kuhusu uzoefu wake mbona hauleweki na pia angekuwa anafanya kazi yoyote inayoendana na profesional yake cdhan kama angekuwa anatafuta hyo volunteer opportunity...
 
Nimesoma Computer science cna uzoefu ndyo maana naomba kuvolunteer
 
Back
Top Bottom