Hahahaaah ha ha ha ah watest waone.... ni moja ya trick nzuri za kujicontrol
je hujisikia hivyo hivyo ukikosa kazini wiki nzima?
Usumbufu kwa Mods kuandamana kutaka hiyo module mpya......
Abuse gani we dogo?
Teh
Hahahaa
Ukijigongea mara moja ikakutesa lazma ulie hasa unapopata email kuwa mtu kachangia topic fulan halafu wewe huwezi kuchangia hadi masaa matano yaishe....
Hahahaaa itakulaje kwako
Hahaaahivi umekaona kale ka-uzi nimefungua kwenye jukwaa la complaints & advice? hebu kaangalie nadhani utakapenda pia
https://www.jamiiforums.com/complai...-na-bad-au-hate-au-i-didnt-like-it-e-t-c.html
hivi umekaona kale ka-uzi nimefungua kwenye jukwaa la complaints & advice? hebu kaangalie nadhani utakapenda pia
https://www.jamiiforums.com/complai...-na-bad-au-hate-au-i-didnt-like-it-e-t-c.html
Nimeiona dogo soma hapo juuuDogo hata mimi nilishawahi kuwauliza ishu hii....kumbe kwa pale kwenye kumpa mtu Respection Vote pia kuna ya kumpunguzia Respect....Angalia utapaona....
Ila kama unatumia simu huwezi kupaona....
bado sijakaona hako katufe ka kubofya na kumpunguzia mtu hizo respekshen
uwe jf addict mara ngapi kongosho eh?
Hivi mtu kama una kazi zako muhimu kweli utaacha kufanya uanze kuperuzi jf? Acheni masihara.
...SS
please say this is a BIG joke..!ntakua sikutafti huku shy!...naingia shinyanga sasa!
Mimi nikosapo jf najihic homa full mwili kutetemeka sasa ikipitishwa hiyo sijui itakuwaje