Hahahahaaaa dogo imekula kwako....
Ukiliwa memo kwa kutowajibika vema akili yako itakaa sawa tu bila hata hii bann unaoitaka....
Fanya kazi then ukiwa na nafasi chungulia kidogo....
Kwani hujagundua kuwa kuna watu huwa hawaonekani hata siku 2 au 3 JF then wanaibuka tena?
Piga kazi JF ipo tu.....
mtanisaidia sana, nataka kuwa jf addict sijui kwa nini.
HahahaaaaUkipigwa ndogo huwa haifunguki kirahisi
Loluwe jf addict mara ngapi kongosho eh?
Hahahahaaaa dogo imekula kwako....
Ukiliwa memo kwa kutowajibika vema akili yako itakaa sawa tu bila hata hii bann unaoitaka....
Fanya kazi then ukiwa na nafasi chungulia kidogo....
Kwani hujagundua kuwa kuna watu huwa hawaonekani hata siku 2 au 3 JF then wanaibuka tena?
Piga kazi JF ipo tu.....
Hahahaaaa mtaambulia bann za usumbufu....tuungane kuwapigia kelele mods waliweke hilo
Ukipigwa ndogo huwa haifunguki kirahisi
Hahahaaaa
Memo......Lol
Kula vichwa na naomba uanze na huyu dogo....
Kwani unadhani wakikaweka mtakagonga?hata mimi naweza kaa hata wiki nzima bila JF, but the case ni kuwa nimewhai ku-experience addiction hiyo so nafikiria bora kuwe na hako ka-voluntary Ban.... i hope katasaidia sana!
Dawa ni kununua simu za nokia Kitochi.....hakina internet so utajicontroltuungane kuwapigia kelele mods waliweke hilo
hah! nimemsumbua nani? Hii ni ku-prove how great thinkers we are!! not majungu here... i guess that is the problem with many Tanzania when it happens they are being criticized they take it personally!! sijui niku-report abuse!?!?.... ngoja niendeleee kukufikiriaHahahaaaa mtaambulia bann za usumbufu....
Kwanza nawashauri wawagonge bann wale wote wanaowaletea wenzao majungu....hope wataanza na wewe
Usumbufu kwa Mods kuandamana kutaka hiyo module mpya......hah! nimemsumbua nani? Hii ni ku-prove how great thinkers we are!! not majungu here... i guess that is the problem with many Tanzania when it happens they are being criticized they take it personally!! sijui niku-report abuse!?!?.... ngoja niendeleee kukufikiria
Dah ila kwa asilimia fulani hata mimi imenipunguzia ufanisi ila naitafutia namna nzurimh! kwani hujui kuwa wengi wanatumia PC za maofisi, vyuo na cafe? hapo bado