Voicemail kwenye simu za Tanzania

Voicemail kwenye simu za Tanzania

kampuni ninayotumia mimi inahuduma hi
Hivi kwa nini simu nyingi hapa Tanzania hazina voicemail?

Mtu unapiga simu inaita weeee halafu unaambiwa uliyempigia hapatikani lakini hupewi fursa ya kuacha ujumbe wa sauti!!

Tatizo ni nini hasa? Ni teknolojia kubwa sana ambayo haijafika Tanzania au ni kitu cha gharama sana au ni nini hasa?

For some of us who are so used to leaving voicemails the absence of it is so frustrating!!!

Anybody know what the deal is with it in TZ??
o
 
Voicemail unaseti wewe mwenyewe mitandao yote ina hiyo huduma
 
Hivi kwa nini simu nyingi hapa Tanzania hazina voicemail?

Mtu unapiga simu inaita weeee halafu unaambiwa uliyempigia hapatikani lakini hupewi fursa ya kuacha ujumbe wa sauti!!

Tatizo ni nini hasa? Ni teknolojia kubwa sana ambayo haijafika Tanzania au ni kitu cha gharama sana au ni nini hasa?

For some of us who are so used to leaving voicemails the absence of it is so frustrating!!!

Anybody know what the deal is with it in TZ??
Hata TTCL wanayo pia niliitumia wiki iliyopita.
 
Back
Top Bottom