Vodafone Mobile WiFi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vodafone Mobile WiFi

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Adolph, Jul 16, 2012.

 1. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  wakuu habari zenu.. nimenunua moderm kutoka vodacom ambayo unaweza kuitumia kama wireless. moderm hii ni aina ya Huawei ssid: Vodafone Mobile WiFi na speed yake ni 7.2Mbps. nataka niichakachue ili niweze kutumia line yoyote nawauliza wanajamvi kama hii kitu inawezekana au nisijisumbue..nilipo speed ya voda ni ndogo sana. vodafone-mobile-wi-fi-top-v1.jpg Vodafone-mobile-WiFi-unboxing-video.jpg
   
 2. NAFIKA

  NAFIKA Senior Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 3, 2011
  Messages: 125
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha wizi, nunua ya mtandao unaoona upo fasta!! maendeleo ya Tanzania yanaletwa na watanzania na yanaanza na wewe.
   
 3. leh

  leh JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 846
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 45
  kutumia kwa modem ya voda kwa line zote ni kitu kiwezekanavyo. modem za voda kama k3571-z hazihitaji kufanyiwa chechote zinatumia any line na kuna baadhi zinahitaji unlocking. chukua hiyo modem yako mpya na uweke line ya airtel. kama haitasoma, angalia model number yake uweke hapa nitakupa msaada zaidi

  regards leh [​IMG]
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. DEVUQUARTER-DEVUKOTA

  DEVUQUARTER-DEVUKOTA JF-Expert Member

  #4
  Jul 17, 2012
  Joined: Jun 20, 2012
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Kaingia mitini.....!!! hawa ndio wale mawakala wa Voda kazi yao kuja kupima upepo humu Ngoja nikununue 4 za familia maana wakija ku customize modem zao tumekwisha wadau!!!
   
 5. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #5
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Inawezekana hujanielewa au ni ujeuri tu mkuu..kampuni gani tena linatoa moderm kama hizi ambazo ni wireless? Hapa siongelei moderm za kawaida. Hizi zinauzwa 150,000 kama huwezi kunisaidia ni bora ukae kimya ndugu yangu.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #6
  Jul 17, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Wizi ni kutumia kitu bila kulipa..moderm yenyewe niliinunua 150,000 wizi uko wapi hapo? Au nisaidie ndugu yangu kama Tigo wanazo niende nikazinunue maana hapa nilipo tigo ndo ipo kasi ila najua tigo hawana hizi wireless moderm
   
 7. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #7
  Jul 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,119
  Trophy Points: 280
  Kaka hujataja namba ya modem thats why watu hawaelewi lazma kuwe na namba kwa mbele ie, u8800
   
 8. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #8
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  mitandao ya simu inatuibia sana. We deserve more than that. Hapa tunajaribu kurudisha kidogo wanachotuibia. Kama wewe una uwezo wa kununua bundle ya laki na nusu poa. Lakini tutaendelea kupeana ujuzi kila wakati inapotokea tundu na kutuwezesha kupata vya bure. Nashukuru mwaka unakatika cjanunua kifurushi wala intanet cafe. Mambo yote room kwangu
   
 9. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #9
  Jul 17, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,119
  Trophy Points: 280
  Unaposema wanatuibia unakosea mkuu manake kununua au kutumia bidhaa ya mitandao ya simu ni mkataba unaingia wewe na kampun husika wameeka price we umenunua sasa wamekuibia nini?
   
 10. UncleUber

  UncleUber JF-Expert Member

  #10
  Jul 17, 2012
  Joined: Apr 25, 2011
  Messages: 4,945
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  what i really meant is, gharama wanazotoza ni kubwa kuliko huduma inayopatikana, na wanajua hakuna njia mbadala ya kupata huduma ya intanet isipokuwa kwa wao tu, inabidi tu kuingia huo mkataba, mfano: umenunua bundle na unapata 4kb/s sasa inakunufaisha vipi? hapo hata page ya kawaida itachukua zaidi ya dakika kufungua!

  nb: sikatazi watu kununua ila, its not win-win situation
   
 11. Fatma Bawazir

  Fatma Bawazir JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 499
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  hawa voda sio kwamba hawaelewi mambo ya customize wana jua sana mbona mordem zao za zamani kama k3565-rev 2 zilikuwa customize wakatoa K3570-z zikachakachuliwa kwa join air imekuaje kwa hizi za toleo jipya E173 zichakachuliwe kwa unlock code tu ? ni kwamba wamegundua wali ingiza pesa nyingi kwa kwa biashara za mordem za K-3570 ndio wakaona
  watuletee za E173 ili tusisumbuke zaid na watu wote watakimbilia mordem zao wanacho jali ni maslahi yao tu na huko mbeleni usishangae zikawa unlocked kabisa
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Mkuu Adolph wala huna haja ya kutoa jasho kuhangaika ku unlockn modem yako. Tembelea hapa ili uweze uweze kujipatia kifaa cha kisasa kiitwacho MiFi chenye uwezo wa kuunganisha hadi devices 5 kwa wireless kwa wakati mmoja. Kifaa hiki. kinasupport line zote za GSM.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 13. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #13
  Jul 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,119
  Trophy Points: 280
  Yap upo sahihi fatma na ndo mana e173 yao wanauza 35,000 wakati e173 ya airtel ni 30,000 kwa competition ya mitandao ya nchini voda wangeeka customized na bei yao ya 35,000 wasingepata mtu. Wanauza 35,000 uchakachue ziuzike nyingi ili wapate profit wanajua kabisa
   
 14. Mr Kicheko

  Mr Kicheko JF-Expert Member

  #14
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 826
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 35
  Mbona voda shop wameshusha bei sasa wanauza 30,000/= sema zile voda shop za wajuaji ndio wanauza 35,000 mpaka 44,500/=
   
 15. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #15
  Jul 18, 2012
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,795
  Likes Received: 7,119
  Trophy Points: 280
  Ndo unanipa taarifa now skua aware kama zimeshuka
   
 16. josephjul40

  josephjul40 JF-Expert Member

  #16
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 16, 2012
  Messages: 213
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  Hapo ni safi. Mimi ninatumia sim card yeyote katika modem yangu ya vodafone. Zilizo nyingi hazihitaji hata kuzi unlock, wewe ni kuweka tu laini tofauti ikisoma mtandao una create connection manually katika Isp number weka *99# hapo kwisha habari yao.
   
 17. BabaDesi

  BabaDesi JF-Expert Member

  #17
  Jul 19, 2012
  Joined: Jun 30, 2007
  Messages: 2,795
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145

  Samahani mkuu kwa kuvamia treni kwa mbele! Yangu mimi ni Modem ya Voda ya Huawei E220. Ningependa kuichakachua ile vichwa vya Tigo na Airtel maana eneo nililopo mtandao wa Voda ni magumashi kiasi. Naomba msaada Tafadhali.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #18
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  ndugu yangu usifikiri kila mtu anaishi kwa ubabaishaji..mi niliomba msaada na hii moderm nimekaa nayo zaidi ya mwaka ila speed ya voda imezingua ndo maana nataka nibadilishe..kama unaona huwezi kunisaidia unakaa kimya.. nafikiri utakua umenielewa@DEVUQUARTER-DEVUKOTA

   
 19. Adolph

  Adolph JF-Expert Member

  #19
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 870
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 45
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,741
  Likes Received: 707
  Trophy Points: 280
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Loading...