meralyussufmeral
Member
- Apr 8, 2012
- 29
- 0
wakuu yupo yoyote anaeweza kuniambia namna ya ku unlock hiyo vodafone mobile wifi router zte R207-z aw wapi ninaweza kwenda kuitolesha lock?
Hayupo jf???poaa mcheki jamaa yuko vzuri na sio tapeli keshanisaidia mambo ya proxy kwasanaaaa pia kama wataka internet kwa njia ya proxy jamaaa anafanya fresh tuuu
Sent using Jamii Forums mobile app
ni rahisi sana fuatilia maelezo ya video hii