vodafone k 3565 z imenishinda | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

vodafone k 3565 z imenishinda

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by the kapex, Mar 21, 2011.

 1. the kapex

  the kapex Member

  #1
  Mar 21, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa natumia modem hiyo hapo juu lakini nimejitahidi sana kuichakachua matokeo yake nimeiharibu lakin kabla sijaitupa naomba mnisaidie yaani nikiichomeka inawasha taa nyekundu na pia haionekani tena nifanye nini ili irudie hali yake ya zamani
   
 2. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #2
  Mar 21, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Haiwezi kurudi hali yake ya zamai, lakini unaweza kuitumia kama zamani... Ngoja tuamke.
   
 3. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #3
  Mar 21, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  wala haijafa mkuu, labda useme ulitumia software gani kuichakachua? Tatizo lako huenda ni kuto-mount kwa cd rom ya modem. Nitajie software uliyotumia ntakusaidia
   
 4. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #4
  Mar 21, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,972
  Likes Received: 430
  Trophy Points: 180
  Go to huawei site and download firmware and reinstall again.problem will be solved mkuu
   
 5. C

  CalvinPower JF-Expert Member

  #5
  Mar 22, 2011
  Joined: Nov 25, 2008
  Messages: 998
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 60
  vodafone k 3565 z. sio huawei ni zte mkuu.
   
 6. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #6
  Mar 22, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Mkuu unahitaji kwanza uinstall dasbord ya Vodafone ndio modem yako itaonekana, baada ya hapo unaweza kurudishia oriinal dashboard na Modem ikarudi kama zamani..........nakumbuka nilikutumia hiyo software na maelezo kwenye ya hotmail yako wapi ulikwama?
   
 7. BinMgen

  BinMgen JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Jun 18, 2008
  Messages: 1,816
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Katika kuchakachua modem kwa kutumia DC-unlock, nikosa kubwa ku-write dashboard kabla ku-read dashboard kwanza. inavyotakiwa u-read kwanza ili ui-seve hiyo vodafone dashboard, lakini ukiapandishia tu! basi modem yako haitaonekana tene kwenye my computer ingawa itakuwa taa ya njano iko ON kuashiria modem iko hai, nikwali modem iko hai haijafa, sasa ili uweze kuitumia unatakiwa u-update driver za hiyo modem kwani sasa hiwezi tena kuingiza driver automatic, kisha nenda network connections, create anew connection, next, connect to the internet, set up my connection manually, connect using dial0up modem,ichague ZTE dial-up modem, isp name weka lolote utakalo, phone nomber *99#, password na usename unaweza ukaacha. Add ashortcut piga tick, hiki. umemaliza. kama utaona utaratibu huu ni mrefu sana basi tusubiri wataalam waje na njia mbadala. lakini njia hii ni 100% utafanikiwa.
   
 8. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Kama ulitumia DC-Unlocker kwanza write dashboard kisha restart DC-Unlocker, search your modem ikishaonekana pale under detection card andika (AT+ZCDRUN=F) bila mabano kisha bonyeza Inter, kazi itakuwa imekwisha. Usisahau kubonyeza kitufe cha Thanks hapa chini
   
Loading...