Hawa watu wizi mtupu na wanafanya hivyo baada ya kugundua taifa hili halina watendaji zaidi ya wazugaji. Wenye maneno mengi sana lakini utendaji sifuri. Nina hasira sana na haya makampuni kwa wizi wanaowafanyia raia. Leo wamenizuga nimepokea sh 1000 baada ya kununua luku. Lakini cha ajabu niliongea dakika moja tu tena kwa NO ya voda to voda.
Wizi mtupu!
.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.