nimeipata sms hii midahii nikiwa nahama rasmi from voda to airtel "HABARI NJEMA! Dakika za Cheka Bombastik za kupiga mitando yote Tanzania zimerudi. Piga *149*01# sasa kuchagua kifurushi upendacho! Vodacom, Kazi ni Kwako!" chanzo vodacom.

Tatizo hata hivi vifurushi vyao vya sasa wanatuibia. Yaani ukinunua dakika hautatumia zote wanakutumia kimeseji chao "dakika zako za kufurushi zimeisha".
Wana ujinga sana voda wao wafanye biashara ya M-Pesa tu.
Siku hawa Airtel wakijiweka sawa na Airtel Money yao yaani Voda ndo itakuwa kwisha habari yako
Hawa jamaa niliwahama na nimeteseka sana ukiweka kifurushi kinaisha within no time. Hivi wanasubiri hadi hadi wateja waishe ndo wakimbie kimbie kurudisha vifurushi? hii ni failure kubwa ya idara ya market research ya VODA kwani kama mimi naweka tigo ya mwezi na haikati na mwezi unaisha bila kumaliza.
wakuu huko airtell kuna nini mbona mnakusifia sana??
Mim nipo tigo na maisha yanaenda kwa hawa voda hawana jipya hata mm nakubali kwanza saiv wanakatam kwa dakik na si seconds