Vodacom wanazingua sana

unawapata tu, ukipiga 100 fuata maelekezo kama umesahau PIN then watakudirect na mtoa huduma chap tu
Zamani ilikua hivyo mkuu ila kwa sasa Wameshaondoa iyo huduma,ndio maana tumekuja kulalamika huku.
Ulienda kwenye page zao Kuna malalamiko mengi wateja wanataka kuongea na watoa huduma lakini inashindikana
 
Hizi mambo mambo zisikie kwa wengine, imenitokea Leo jioni nimetuma kutoka Halopesa kwenda Mpesa mpaka sasa Mpokeajo anasema pesa haioni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…