Mpambalyoto
JF-Expert Member
- Mar 26, 2010
- 751
- 3
Sidhani kama pesa kutopungua bado ni kigezo.
Je ukiambiwa kuwa pesa haipungui na Michango inaingia hiyo si itakuwa asara ya Vodacom?
Tusilaumu kwanza ni vizuri tukapeleleza tatizo ni nini maana technology haina gurantee.
Kama ni hivyo ipo haja ya wapenzi wote wa Chadema wajitoe kwenye huu mtanadao wa vodacom kwani mitanadao ipo mingi tu.KUMBE KUWA VODACOM NI KUMNEEMESHA FISADI RA?
Katika kuelekea October 2010, CCM inatapatapa kumaliza nguvu za chadema kwa umafia wa aina yoyote. kwa sasa CCM wanawatumia VODACOM kuiujumu Chadema.
CHADEMA wanaomba michango kutoka wa wapiga kura wao na watu wenye mapenzi mema na Chadema lakini cha kushangaza VODACOM chini ya RA wanatumika kuujumu
1. Viongozi wengi wa chadema kama ZITTO na VIcent Nyerere na wengine wanaomba wanachama na wapenzi wawachangia kupitia M-PESA lakini VODACOM wanaBLOCK michango isiingie kwenye account zao za M PESA.
2. Number ya kuchangia chadema 15510( kama nimeikosea nitakosolewa) hii namba wameiblock ukituma msg ili uchangia TSHs 350 SALIO HALIPUNGUI. hii na ujuma kubwa
3. TUNAJUA VODACOM ni CCM, sasa hivi wametoa mabango yao yote barabarani wamewapa CCM waweke matangazo yao
MY TAKE
1. Hii ujuma inayofanywa na VODACOM mwisho wenu unakaribia
Tuko kikazi zaidi, jana kulikua na tatizo la server yetu lakini hakuna blockage ya aina yoyote, au weye our rival?
ROSTAM azizi owns more than 70% shares of vodacom tanzania japo sometimes anafanya kwa kificho so kwa fisadi kama huyu akishirikiana na vibaraka kama mwanvita marope unategemea nini?
Katika kuelekea October 2010, CCM inatapatapa kumaliza nguvu za chadema kwa umafia wa aina yoyote. kwa sasa CCM wanawatumia VODACOM kuiujumu Chadema.
CHADEMA wanaomba michango kutoka wa wapiga kura wao na watu wenye mapenzi mema na Chadema lakini cha kushangaza VODACOM chini ya RA wanatumika kuujumu
1. Viongozi wengi wa chadema kama ZITTO na VIcent Nyerere na wengine wanaomba wanachama na wapenzi wawachangia kupitia M-PESA lakini VODACOM wanaBLOCK michango isiingie kwenye account zao za M PESA.
2. Number ya kuchangia chadema 15510( kama nimeikosea nitakosolewa) hii namba wameiblock ukituma msg ili uchangia TSHs 350 SALIO HALIPUNGUI. hii na ujuma kubwa
3. TUNAJUA VODACOM ni CCM, sasa hivi wametoa mabango yao yote barabarani wamewapa CCM waweke matangazo yao
MY TAKE
1. Hii ujuma inayofanywa na VODACOM mwisho wenu unakaribia
Hii propaganda tu, we donot trace calls or sms za mtu awaye yoyote, we are group of proffesionals with ethics, good reputation and not politicians or croocks, kama umetupa sim card yako its your choice but stop spreading lies and your unproven accusation. We are Tanzania's Leading Cellular Network Period:becky:
2. Number ya kuchangia chadema 15510( kama nimeikosea nitakosolewa) hii namba wameiblock ukituma msg ili uchangia TSHs 350 SALIO HALIPUNGUI. hii na ujuma kubwa
Naona nikucorrect mkuu.
Namba ya kuchangia ni 15710.
Mkuu hii kitu kama ni kweli, wahusika inabidi waende kwa voda, kwa sababu hata kama wanahisa ni mafisadi, voda hawawezi kuruhusu public perception yao iharibike, kwa kuhofia kuondoa trust yao kwa wateja wao. isitoshe kwenye hiyo hela na wao wanapata chao.