vodacom wajanja night ni noma


Mkuu mzigo wangu unapiga 97Mbps halafu ni unlimited. Baada ya masaa 2 nakosa cha kudownload nawasha free hotspot majirani watumie 😃
 

Attachments

  • Screenshot_20200906_183822_com.android.chrome.jpg
    54.2 KB · Views: 11
Aisee ni nomaaa niko mwanza wakuu dude ikagonga 5.8mbps na aikushuka 2mbps utorrent movie za gig zinaisha tu in a matter of minutes not hours
Hapo vp mzee baba
 

Attachments

  • Screenshot_20200906_183822_com.android.chrome.jpg
    54.2 KB · Views: 8
Yaani mb 848 masaa mawili duh!, Sijakusoma
Ilikuwa ni wakati huo, sio miaka ya hizi karibuni.
Huu uzi ukisoma text za mwanzo ndo utajua kweli technology inakua by the time 2027
Sahihi, watu watakuwa wanashusha 1TB kwa sekunde chache.

Maana kwa sasa hapa ndipo tulipo fikia. 1Gbps.

Hii screenshot nimechukua muda huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…