Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,354
Ukituma hela kwa mpesa, kwenye process mwishoni unapewa msg ..."unatuma sh .... kwenda namba 075..... bonyeza i kuthibitisha au 2 kubatilisha. Nawashauri ili kupunguza adha za wateja kutuma hela kimakosa, ...kwenda namba... wabadilishe wafanye ...kwenda kwa ....(wataje jina la mwenye simu), kama ilivyo tigo. itawawezesha wateja kuhakiki kama wanatuma kwa mlengwa
Asante
Asante