E Etairo JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 244 Reaction score 44 Jan 17, 2013 #21 Mbona ndo mchezo wao -wenye makampuni wote ni wezi-Ofa zote ni upogo tu -wanajikusanyia fedha nyeingi kwa manufaa yao tu
Mbona ndo mchezo wao -wenye makampuni wote ni wezi-Ofa zote ni upogo tu -wanajikusanyia fedha nyeingi kwa manufaa yao tu
bona JF-Expert Member Joined Nov 6, 2009 Posts 3,798 Reaction score 1,444 Jan 17, 2013 #22 ndo mana ukaambiwa kazi ni kwako!!!
TUJITEGEMEE Platinum Member Joined Nov 6, 2010 Posts 27,277 Reaction score 27,948 Jan 17, 2013 #23 Katavi said: Makampuni yote ya simu yamejaa wizi tu. Click to expand... Wengine wanakubembeleza kukuibia...ukilegea tu...washakumaliza ...eti '... usidharau ujumbe huu.....unapoint...'
Katavi said: Makampuni yote ya simu yamejaa wizi tu. Click to expand... Wengine wanakubembeleza kukuibia...ukilegea tu...washakumaliza ...eti '... usidharau ujumbe huu.....unapoint...'