Pragmatist
Member
- Sep 21, 2012
- 18
- 1
Nilijiunga na SUPA CHEKA ya VODACOM kwa kulipa Shs. 400. Nilipewa dakika 15 za maongezi, SMS 100 na MB 50 za intaneti. Ajabu ni kuwa baada ya kutuma SMS 28 nililetewa meseji na VODACOM kuwa SMS 100 nilizopewa zimeisha! Nilinunua SUPA CHEKA tena na nilipotuma SMS 17 nikaambiwa SMS 100 zimeisha! Huu si wizi? VODACOM wasiwafanye Watanzania ni mbumbumbu. Waheshimu kile wanachokitangaza kwa wateja wao.