Vodacom tz mastercad

Marwa_J_Merengo

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2018
Posts
4,511
Reaction score
6,888
Wadau naomba nijuzwe hii kadi ya MasterCard iliyozinduliwa jana inapatikana vipi na kwa masharti na vigezo vipi?

Na pia inaweza kuunganishwa na paypay au skrill?
msaada tafadhari bandugu
 
Wadau naomba nijuzwe hii kadi ya MasterCard iliyozinduliwa jana inapatikana vipi na kwa masharti na vigezo vipi?
Kwenye simu yako piga

*150*00#

Chagua 4: Lipa kwa Mpesa

Chagua 6: M-Pesa Mastercard

Hapo fuata maelekezo

Vodacom Tanzania , Elimu kwa uma bado inahitajika sana tena sana, kuhusu hii huduma mpya (M-Pesa mastercard) hasa kwenye hii mitandao ya kijamii.

Ni hotcake hasa kwa sisi wadau wa kufanya miamala kila siku mtandaoni, Kutuma na kupokea.
 
Je naweza hamisha salio kutoka MasterCard to m pesa
 
Kwa sasa inapunguza kazi kwa wale wanaotaka kununua kitu online.
Shida kubwa ni elimu juu ya hii huduma bado haijawafikia wateja walio wengi.
 
Huwezi link na skrill...skrill wanakataa mastercard kwa sasa..labda hapo baadae
 
Mwl.RCT hiyo Voda mastercard inakubali ebay na amazon!?..
Kuna mdau wangu kanambia anaitumia huduma hii Alibaba kutoa vitu China kupitia Singapore then njiwa mpaka Tz.
 
J
Je hiyo M-pesa mastercard unaweza kulipia kama unahitaji chochote kununua online?
 
Kwa hiyo ni kadi au unapewa no ya kadi,na kama ji kadi zinatolewa wapi? Mtuambie na faida zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…