Ni kweli mkuu...Mara nyingi makampuni hasa haya ya simu kuna baadhi ya vitengo vinafanywa na kampuni zingine au watu binafsi...mf Vodacom hawatengenezi vocha,hawanunui magari,hawajengi majengo wala minara,wao wanasimamia kwenye kutoa huduma ya mawasiliano na data,now days imeongezeka na mpesa,ndio maana kuna baadhi ya idara hawausiki mfano customer care.....
Hata mm najiuliza kwa nn karibia makampuni ya simu yawe sehemu moja inawezekana ikawa ni kweli tcra wametoa hilo agizo kama alivyosema mtoa maada
Sent using
Jamii Forums mobile app