Vodacom Tanzania yahama Mlimani City

Vodacom Tanzania yahama Mlimani City

Hilo la kusema TCRA kaamrisha kampuni za simu wahamie kinondoni na mimi nimegoma aisee. Haina logic kabisa hii point.
 
Tigo, TTCL na Airtel nauhakika zipo kino, tigo iko makumbusho, airtel morocco na ttcl science
TTCL HQ ipo Posta.
Hiyo sayansi ni service center.
Voda office za customer service bado zipo mlimani city mall.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kampuni ya simu inayoongoza nchini, Vodacom , imeyahamisha makazi yake ambayo yalikua katika eneo maarufu dsm liitwalo Mlimani City.

Sababu ya kampuni hiyo kuhamisha makao yake makuu inasemekana ni pamoja na kodi ya pango kuwa kubwa huku mapato yakipungua, na amri ya TCRA kutaka kampuni za simu ziweke makao makuu katika eneo moja.

Vodacom imehamishia makazi yake katika eneo la la Kinodoni - Morocco. Eneo ambalo makao makuu ya kampuni nyingine zote za simu yapo. Mkampuni yote ya simu ya simu nchini yana makazi yake katika eneo linalokaribiana kuanzia Kinondoni - victoria hadi Morocco Kinondoni Dar es Salaam.
Mimi ninachojua nchi nyingi zinakuww zinatenga eneo maalumu kwa ajili ya IT and Telecom.
mara nyingi wanaita Smart City...
lkn kwetu nadhan wamechelewa
hiyo Kinondoni hadi Morocco tayari imejaaa..
sisi wa Tz hatuwezi na hatuna plan kabisa.
 
basi kama wewe ni VTL na hujui hilo, wewe ni kinikia na kichwa maji wa kiwango cha dunia.

Kinikia wa sales huwezi kujua habari nyeti kama hizi. Nenda kamuulize Ian atakupa sababu za kuhama
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] et Kinikia
 
TTCL HQ ipo Posta.
Hiyo sayansi ni service center.
Voda office za customer service bado zipo mlimani city mall.
Zile za pale mlimani city hazimilikiwi na vodacom tena. Zinamilikiwa na ISON BPO ambao ni operators wa Call center ya Vodacom kwa sasa
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yule kinikia hajui chochote. Mimi nipo trca

Sasa, kama upo TCRA mbona unakuja na habari nusunusu?

Angalia sana unapotoa habari zisizo rasmi.

Au labda unataka Vodacom wajieleze kwanini wanahama?

Kama upo jikoni na wataka kupika pilau kama mzee Juma Mapilau, basi uwe unafahamu kila kiungo cha pilau hasa giligilani.
 
Siyo kila kitu lazima utafuniwe.
 
may be sielewi.. je call center hao ison wanahusika na watu wanaopokea simu customer care au hadi wauza simu na bidhaa za voda kwenye vodashops..

je wale wafanyakazi wa voda shop m city ni waajiriwa wa kampuni gani.. vodacom au ison??

Zile za pale mlimani city hazimilikiwi na vodacom tena. Zinamilikiwa na ISON BPO ambao ni operators wa Call center ya Vodacom kwa sasa
 
may be sielewi.. je call center hao ison wanahusika na watu wanaopokea simu customer care au hadi wauza simu na bidhaa za voda kwenye vodashops..

je wale wafanyakazi wa voda shop m city ni waajiriwa wa kampuni gani.. vodacom au ison??
Vodashop ipo mbali kabisa na call center na ipo under vodacom. Vodashop ipo kwenye frem za maduka kule mlimani city

Call center ipo kule ilipokua vodacom HQ. Na ipo under ISON.
 
so wafanyakaz wa vodashop wote ni voda com employees??

Vodashop ipo mbali kabisa na call center na ipo under vodacom. Vodashop ipo kwenye frem za maduka kule mlimani city

Call center ipo kule ilipokua vodacom HQ. Na ipo under ISON.
 
Mimi ninachojua nchi nyingi zinakuww zinatenga eneo maalumu kwa ajili ya IT and Telecom.
mara nyingi wanaita Smart City...
lkn kwetu nadhan wamechelewa
hiyo Kinondoni hadi Morocco tayari imejaaa..
sisi wa Tz hatuwezi na hatuna plan kabisa.
Kinondoni hadi morocco imejaa vipi wakati majengo mengi matupu,kuna mapya hayajaisha?
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom