Vodacom siwaelewi jamani

Vodacom siwaelewi jamani

Moo Click

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2015
Posts
3,495
Reaction score
3,253
Leo saa nane na dakika tisa nimepokea ujumbe kutoka Mpesa wakiniambia ombi langu la Open FI Account limepokelewa nitapewa mrejesho Pindi akaunti husika itakapo funguliwa.

Wana Jf mimi sijajiunga na wala sijaomba chochote kuhusu Mpesa yangu zaidi ya kufanya miamala midogo midogo ya hapa na pale sasa dhumuni la uzi huu ni kutaka kujua hii Open FI Account ndio akainti ya namna gani? na mbona mimi sija request chochote iweje waniambie ombi langu limepokelewa?


Nawasilisha.
2019-10-16%2014.16.24.jpeg
 
Hicho Kidhungu tu mie nahisi kimekuja na upepo wa kisulisuli!!!

Your apply for... Has been processing..when account have been??
 
Hicho Kidhungu tu mie nahisi kimekuja na upepo wa kisulisuli!!!

Your apply for... Has been processing..when account have been??
....Hata mie, kwa kidhungu hiko, nahisi harufu ya mtu kupigwa hapo...
 
Hii mbona kama imetoka M-pesa moja kwa moja maana hamna Sehemu ya kujibu mkuu
Umeone eeeh? Akirogwa tu kujibu hio sms, watamliza!!!
Moo Click piga 100 uwaulize call centre ya Voda kama wamekutumia hio message?
2019-10-16%2015.11.32.jpeg
 
Nimewauliza wamenijibu hapo kama inavyoonyesha kwenye screenshot
Screenshot_20191016-203401_YoWhatsApp.jpeg
 
Back
Top Bottom