Vodacom Premier League VPL | Simba SC Vs Mbeya City (4-1) | Benjamin Mkapa

76' Ametoka Morrison na nafasi yake imechukuliwa na Mzamir upande wa Simba

Hii Sub sijaipenda kuna shida gani Morrison kumalizika dakika 90?
 
  • Thanks
Reactions: Lee
magoli yote ya butu butu tu,butuuuuuuu kipa katema,butuuuu tena kipa imegonga mwamba,butuuuuu tena imebabatiza mabeki butuuuuuuu tena ndio inaingia kwenye nyavu...alafu benchi la ufundi lote linashangalia
Tulia wewe utopolo..
 
90+3' Kuelekea kumalizika kwa mchezo huku Onyango akionyeshwa Kadi ya Njano.

Chamaaa anakwendaa lakini anashikwa jezi, Kadi ya Njano inatoka kwa Siraji, wakati wowote mpira utakwisha.

Naaaam mpira umekwishaaa ambapo Simba SC wanaibuka na ushindi mnono wa mabao manne kwa moja dhidi ya Mbeya City na kuendelea kujikita kileleni mwa VPL huku wakinusa harufu ya Ubingwa.

VPL,FT: Simba SC 4-1 Mbeya City.

..... Ghazwat.....
 
Back
Top Bottom